Music system.

cicatrix

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
58
Reaction score
3
Nahitaji music system inayoeleweka, iwe used au mpya ilimradi iwe katika hali ya kueeleweka,.....
Yoyote alionayo please, naomba ani habarishe specs zake pamoja na dau lake.

asante
 
ipo kwa jamaa yangu Sharp moja MODEL HT-CN9390DVW Q HOME THEATER WATTS 1200 inapiga kinoma imetumika miezi 2 tu box remote vipo price 750,000. Call 0752734209
 
Bila box itakua sh ngp?!
 
Nenda kariakoo ulizia duka la city music sound wana muziki wa kukutosha. Kama ni mgeni utaniambia nikupeleke.
 
afu ndo uko nyumba ya kupanda na mdingi mwenye nyumba mkorofiiiii duh!? akiiona tu unaiingiza ndani kesho yake notisi tena ya masaa 12
QUOTE=CYBERTEQ;7616489]View attachment 117679

KLIPSCH THT Ultra II
26M (Millioni ishirini na sita tu)[/QUOTE]
 
afu ndo uko nyumba ya kupanda na mdingi mwenye nyumba mkorofiiiii duh!? akiiona tu unaiingiza ndani kesho yake notisi tena ya masaa 12
QUOTE=CYBERTEQ;7616489]View attachment 117679

KLIPSCH THT Ultra II
26M (Millioni ishirini na sita tu)
[/QUOTE]

Hahahaaaa huu siupimii. Ukiweka Vol 5 tosha kabisaa.
 
Hahahaaaa huu siupimii. Ukiweka Vol 5 tosha kabisaa.[/QUOTE]

Kaka hii balaa, full 3D sound, kwa wagonjwa wa movie za kivita hapa ndiyo mwisho, ukiwa unaangapia picha kama Windtalkers risasi unaskia zinapita kisogoni, unaweza ukalala chini! Na kwa wapenzi wa muziki ni balaa tupu, kila chombo unakiskia kwa clarity ya hali ya juu, bass yake sasa usiseme!
 
afu ndo uko nyumba ya kupanda na mdingi mwenye nyumba mkorofiiiii duh!? akiiona tu unaiingiza ndani kesho yake notisi tena ya masaa 12
QUOTE=CYBERTEQ;7616489]View attachment 117679

KLIPSCH THT Ultra II
26M (Millioni ishirini na sita tu)
[/QUOTE]

tishio la nyumba mbovumbovu kama ina bati tu bili gypsum bati lazima zikaokotwe ng'ambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…