Mkuu si swala la kulipwa bali la kuwa mbunifu, kwa ubunifu inawezekana kabisa kufanya vitu vipya. Mfano angalia kuna baadhi ya nyimbo za miaka mingi zinapendwa na wengi wa kila rika hadi leo mfano za akina Jim Reeves; "Rangi ya Chungwa"; "Vundela"; "Umkombochi" nk nk. Inaweza ikawa si katika maana hiyo strictly lakini inawezekana ku-improve na kuleta vitu vipya vitakavyodumu.
yapo malalamiko kuwa Bongo Fleva imepoteza mwelekeo. Nyimbo nyingi zinafanana, beats wanaibiana; zinachuja haraka; mashairi yanafanana. styles, dressing nk nk.
Tunaangalia namna ya kuleta tofauti