Music producer anatafuta studio...

Music producer anatafuta studio...

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,857
Reaction score
2,088
Music producer anatafuta studio. studio iwe imekamilika kwa vifaa, na mmiliki awe ni mtu anayejua maana ya muziki.. producer amekwisha fanya kazi na wasanii kama vile Alikiba na PNC na wengine wadogo na nyimbo zote alizozifanya bado ni mpya kwa anayehitaji kusikia kazi zake anaweza kuwasiliana naye namba yake ya simu 0764435828 au 0718512630...
 
wajameni, sasa yeye hizo kazi alifanyia wapi kama hana studio wala vifaa vilivyokamilika?
 
producer alikuwa na studio iliyokamilika sema ameshindana na mwenye studio kutokana na mmiliki wa studio kutojua maana ya muziki (sababu alizozitaja hapo juu)
 
embu tuambie maana ya mziki ni nini.....kama sijakusoma hivi
 
unaweza kuniinbox nikakupa web ya nyimbo zake hulkshare
 
Music producer anatafuta studio. studio iwe imekamilika kwa vifaa, na mmiliki awe ni mtu anayejua maana ya muziki.. producer amekwisha fanya kazi na wasanii kama vile Alikiba na PNC na wengine wadogo na nyimbo zote alizozifanya bado ni mpya kwa anayehitaji kusikia kazi zake anaweza kuwasiliana naye namba yake ya simu 0764435828 au 0718512630...

Kama yuko tayari kulifanyia kazi suala la kuanzisha Studio Mpya DSM City Centre tuwasiliane kwa PM.
 
wajameni, sasa yeye hizo kazi alifanyia wapi kama hana studio wala vifaa vilivyokamilika?

deiwaka.................a.k.a freelancer..lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom