How can they stop subsidazing the farmers while that is the governments' responsibility, ie.to care for his people and rule according to their will? Should they stop subsidizing for the betterment of African peopple? are african their citizen who brought them to power? the Ans is No.Mseveni is right we should adhare to standards at the same time imposse big taxes to their goods.It possible in china, foreign goods are down expensive but theirs very cheap why not you guys(American cry now).It is better for the African presidents to know that european, america and asians presidents are working for those who put them in power but not for africans.So kikwete better stop lame excuse, instead think other alternatives and not to debate on subsidies.American and Europe are very smart put their people first not like in Africa where investor is first before the citizens.
What did each of them study at college?
Ni kweli kabisa, alipewa Foreign ili exposure iongezeke, na ujuzi pia, na kuondoa kiu ya hela ndogo ndogo , ili akiwa Raisi afanye hiyo kazi kwa akili za kiuraisi na tabia inayo endana na UraisiInteresting question.
Hii ndio mentality ya mtu aliyekalia kiti cha u-foreign minister kwa miaka kumi? Ni vitabu gani huyu jamaa huwa anasoma?
JK should think and sing about things that he can control, not those that he cannot.
Anachoweza ni ku-subsidize mafisadi, sio?!
ukiwa kiongozi wa nchi unatakuwa uwe mkakamavu, mbunifu nk sasa wewe mwenyewe umeongelea kitu kimoja tu imf, na world bank, hujazungumzia UNCTTAD.tafadhari eleweni mambo, hiyo taarifa haijakamilika. ni kwamba wakati agriproduct za ulaya serikali zao zinatia mkono kwa wakulima wake, mashart ya World bank na IMF ni kwamba nchi za afrika zisifidie wananchi na wakulima wao. ndo maana hakuna pesa inayoenda kwa wakulima kwa uzalishaji, sasa hapa tayari kuna wakulima wa aina mbili tofauti katika soko moja ambalo sio fair. ndo lawama zza JK. sababu hiyo ndo inayokataza nchi za afrika kuto own migodi na makampuni makubwa ya uzalishaji kwa asilimia zote,kwamba lazima mataifa ya magharibi yahusike, vinginevyo hakuna mikopo ya kuendesha viwanda au migodi hiyo. Jamani tafuteni vyanzo vya habari ya sababu za mikopo kwa nchi masikini,ndo mtajua JK anaongea nini.
How can they stop subsidazing the farmers while that is the governments' responsibility, ie.to care for his people and rule according to their will? Should they stop subsidizing for the betterment of African peopple? are african their citizen who brought them to power? the Ans is No.Mseveni is right we should adhare to standards at the same time imposse big taxes to their goods.It possible in china, foreign goods are down expensive but theirs very cheap why not you guys(American cry now).It is better for the African presidents to know that european, america and asians presidents are working for those who put them in power but not for africans.So kikwete better stop lame excuse, instead think other alternatives and not to debate on subsidies.American and Europe are very smart put their people first not like in Africa where investor is first before the citizens.
Using the example of subsidies to the diary industry, Mr Kikwete said, a cow subsidised by seven dollars in Europe will produce milk cheaper on an African supermarket stall than milk locally produced in Africa. He put the blame on Africa, saying adherence to quality standards was hurting chances of local produce.
But Mr Museveni said Africa can achieve standards and that they were not the biggest bottleneck.
unajua kuna wakati mwingine hua najiuliza , hivi Raisi wetu marafiki zake ni akinanani au washauri, maana katika dunia hii, kuna vitu unajifunza au unapata pointi toka kwa marafiki, sasa hata jioni anapoka kupumzika, kwanini asitafute watu wenye uwezo ili wawe wana mpa mpa extras, kama Iddi Simba licha na mapungufu mengine lakini yule jamaa namuona ana akili kidogo katika mambo ya uchumi na biashara, labda Dr Dau kutokana na shule yake etc etc, ili hata akitaka kutekeleza policies au akienda nje awe na pointi zilizo shiba au zinazo endana na mahali alipo.
Na huu mkutano wa Cancun, Mexico naukumbuka sana, mpaka Reagan akasema afadhali amwage mahindi ya ziada baharini kuliko kutupa msaada.Tatizo la Kikwete ni mtu wa desa, hana originality wala hajui kutumia resources at his disposal kufanya research.Hizi kazi nyingine ni kuwapa washauri tu wanafanya research rais anaenda na madongo ya nguvu na mapya.Sasa wimbo ule ule aliouimba Nyerere 1981 unarudiwa vile vile, hata kama ni kweli, basi hamna hata a convincing remix? Mwishowe tunaonekana walalamishi tu.
Sasa kwani nini ni sisi tu? tunao iona hii au kupata hayo madhara kuwa makubwa zaidi kuliko kwingine.Nashangaa kwa hili. Kikwete anachoongea ni kitu cha wazi kabisa. Hata schollars wengi wa nchi za ulaya wanalizungumzia hilo la subsidies na distortions zinazoletwa na subsidies hizo kwenye third word. Nashangaa hili hatulioni.
Hizi zinazoitwa EPA's ambazo nchi zetu zinasign na nchi zilizoendelea lengo lake ni kuhakikisha movement of goods kutoka nchi zilizoendelea kuja nchi maskini. Mojawapo ya goods hizo ni bidhaa za kilimo ambazo ziko heavily subsidized. Sasa wewe kama huoni kuwa subsidy zinaua competition, something must be wrong with you. Inawezekana una issues na rais wetu, lakini kutumia hii kumuua is not fair.
Unaweza kusema kirahisi kuwa Kikwete amegundua kuwa maziwa ya ulaya yanakuwa subsidized. He should apply tarifs to ballance the effect of subsidies in our own markets. Lakini jambo hilo linazuiwa na WTO pamoja na IMF. Na ukifanya hivyo hupati mikopo!
so in one end wanajaribu kupromote biashara huru isiyo na mipaka lakini upande mwingine wanataka bidhaa zao ziingie katika masoko yetu bila vikwazo, wakati bidhaa hizo zinapata subsidies. Fair competition hapa haiwezekani kamwe. Ndo maana wanatuunga katika vikundi vya nchi na wanaviita trading blocks. Humo ndani ya vikundi kuna watawala ambao they care less about their people na watasign anything. Halafu hata akiwepo anayebisha unashindwa kusimmama kwa sababu the whole group imekubali.
Wakulima wa Afrika wanapata matatizo kwa sababu mazao yao hayapati fair price. Matokeo yake wanapata hasara. Sasa kwenye supermarket ya Mlimani City ukikuta kuku aliyezalishwa ulaya, unadhani kuna nafasi kwa wazalishaji kuku wa bongo? Kuku wa ulaya aliyelipiwa subsidies atauzwa kwa bei nzuri kuliko yule aliyezalishwa Tanzania, the only way ya kufuta hiyo advantage ni kuweka tariffs ambazo zinakataliwa na hizi Economic Partnership Agreements.