Museveni, Kikwete disagree on exports | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Museveni, Kikwete disagree on exports

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Jul 29, 2009.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Museveni, Kikwete disagree on exports
  Monitor Reporter
  Munyonyo

  President Museveni and his Tanzanian counterpart Jakaya Kiwete on Monday disagreed on how much lack of adherence to quality is impacting on sustainable access to European markets.

  President Kikwete demanded that Europeans end their subsidies to their farmers, noting that with the subsidies in force, African goods can never compete even in their own countries.

  He expressed frustration that the developed world especially Europe and the US have refused to “remove trade distorting subsidies,” and urged African countries not to accept to be pressured into signing bad trade agreements.
  “It’s better to have no agreements than come out with a bad agreement,” he said.
  Unfair trade terms and market access to Europe and the US has been President Museveni’s subject and President Kikwete seemed to be pulling the rag under his host’s feet.

  Using the example of subsidies to the diary industry, Mr Kikwete said, a cow subsidised by seven dollars in Europe will produce milk cheaper on an African supermarket stall than milk locally produced in Africa. He put the blame on Africa, saying adherence to quality standards was hurting chances of local produce.
  But Mr Museveni said Africa can achieve standards and that they were not the biggest bottleneck.
   
 2. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  How can they stop subsidazing the farmers while that is the governments' responsibility, ie.to care for his people and rule according to their will? Should they stop subsidizing for the betterment of African peopple? are african their citizen who brought them to power? the Ans is No.Mseveni is right we should adhare to standards at the same time imposse big taxes to their goods.It possible in china, foreign goods are down expensive but theirs very cheap why not you guys(American cry now).It is better for the African presidents to know that european, america and asians presidents are working for those who put them in power but not for africans.So kikwete better stop lame excuse, instead think other alternatives and not to debate on subsidies.American and Europe are very smart put their people first not like in Africa where investor is first before the citizens.
   
 3. A

  August JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Hapa naona Mzee kashindwa kuelewa kwamba ushindani unakuza akili na maarifa, na ugunduzi, yaani ushindani unaboresha mbinu za uzalishaji. nidhamu ya kazi , uhifadhi wa hizo bidha, usafirishaji na mambo mengine lukuki kutokana na sehemu huyo mtu alipo.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  MUzee you have buried our dear prezdaa alive. Kila mahali excuses ..excuses..and more excuses.
  Rais wetu anaonekana hajui how stuff work, ni maamuma na ndio maana hatutakaa tuendelee tukiwachagua watu wasojua ulimwengu unaelekea wapi.
   
 5. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #5
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  What did each of them study at college?
   
 6. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2009
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Patamu hapo. Mie nikidhani kwa kutambua sababu inayotufanya tulale, viongozi wetu wangenunua ujanja waliouona unatumika kwa tija kwa wenzao! Mzoea vya kunyonga hajui kuchinja! Wala hatakaa kusomea ujuzi wa kuchinja maana njia ya kufika huko ni ndefu katika mawazo yake.

  Ujinga ni mzuri kama unakusaidia kuwa salama. Watu wasema kwamba kunguru mwoga hujiongezea siku za kuishi. Lakini chumvi iliyoharibika itiwe nini ili ikolee? Stone age ilizidiwa kete kwa faida ya kizazi kipya. Sasa kama leo tunapenda turudi stone age tuseme bayana.

  Leka
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Interesting question.

  Hii ndio mentality ya mtu aliyekalia kiti cha u-foreign minister kwa miaka kumi? Ni vitabu gani huyu jamaa huwa anasoma?
  JK should think and sing about things that he can control, not those that he cannot.

  Anachoweza ni ku-subsidize mafisadi, sio?!
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tukiwaambia kikwete ni kichwa maji mnakataa. huyu jamaa ana uelewa mdogo sana. ndo maana hata akihojiwa na vyombo vya kimataifa yaani, ukisikiliza unaweza kufumba macho, aibu tupu, utafikiri hajawahi kusoma. nakwambieni ukweli, KIKWETE NI MZURI WA SURA TU, NDO MAANA ANAKAMATA WENGI kwa mwonekano wake, ila kichwani, butu. ona sasa.

  kama ulaya wamewapa watu subsidies, kwani yeye anashindwa nini? hata hivyo, hapa bongo uwezo huo wa kushindana na ng'ombe wa ulaya tunao, tunayo maji kibao, madaktari wa sua, majani kibao hata hatutakiwi kuweka hay kama ulaya kwenye barafu, ni uwezo mdogo tu, wafugaji wetu wangewezeshwa hakika tungefika mbali sana. ANATUTIA AIBU, ona sasa anaboronga mbele ya watu hadi wanajua kuwa tunaye rais butu.
   
 9. A

  August JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa, alipewa Foreign ili exposure iongezeke, na ujuzi pia, na kuondoa kiu ya hela ndogo ndogo , ili akiwa Raisi afanye hiyo kazi kwa akili za kiuraisi na tabia inayo endana na Uraisi
   
 10. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anafikiri ulaya na america rais anachaguliwa kwa ahadi hewa au kwa kutoa kofia,fulana na kanga au chumvi. pale ni sera tena lazima utekeleze la sivyo urais hauna. Kama waliwaahidi subsidies lazima watekeleze la sivyo hawana kazi. Haoni mjomba obama anavyoangaika na health policy yake ni mojawapo za ahadi zilizo muweka madarakani asipotekeleza kipindi kijacho urais atausahau.Rais wetu atafute ustaarabu wake siyo kungangania wenzake wateme unga.
   
 11. L

  Lukundo Member

  #11
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafadhari eleweni mambo, hiyo taarifa haijakamilika. ni kwamba wakati agriproduct za ulaya serikali zao zinatia mkono kwa wakulima wake, mashart ya World bank na IMF ni kwamba nchi za afrika zisifidie wananchi na wakulima wao. ndo maana hakuna pesa inayoenda kwa wakulima kwa uzalishaji, sasa hapa tayari kuna wakulima wa aina mbili tofauti katika soko moja ambalo sio fair. ndo lawama zza JK. sababu hiyo ndo inayokataza nchi za afrika kuto own migodi na makampuni makubwa ya uzalishaji kwa asilimia zote,kwamba lazima mataifa ya magharibi yahusike, vinginevyo hakuna mikopo ya kuendesha viwanda au migodi hiyo. Jamani tafuteni vyanzo vya habari ya sababu za mikopo kwa nchi masikini,ndo mtajua JK anaongea nini.
   
 12. A

  August JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ukiwa kiongozi wa nchi unatakuwa uwe mkakamavu, mbunifu nk sasa wewe mwenyewe umeongelea kitu kimoja tu imf, na world bank, hujazungumzia UNCTTAD.
  Sasa turudi kwenye hilo suala la world bank, imf, etc , je sisi tunatofauti gani na Botswana, Namibia, Msumbiji etc kwanini iwe sisi tu?
  Nini maana ya AU, si kuangalia maslahi ya Africa na kuwa na msimamo wa Pamoja? Je forum hiyo alipokuwa Chairman aliitumia namna gani ili haki za afrika zitekelezwe? unajua umoja ni nguvu, sasa hapo umoja wetu umeshindwa na Hizo nchi za Magharibi? na kama tulishindwa ndani ya umoja huo AU, je kuna impact gani kwa kuliongelea hilo suala at an individual level, huoni anakuwa mnyonge zaidi. Maana kuna muda wa kuongea na muda wa kutekeleza kile unacho kiona na manufaa, kwako. sasa haya maneno yatatupeleka wapi? wakati siku zinakwenda shida zinakuwepo?
  Si afadhali ajikite humu humu nchini kuwa himiza watu wazidishe uzalishaji, huhifadhi na kukutana na Policy makers kuona ni jinsi gani tunaweza kukabiliana nao, kama na sisi kuweka tarrifs tofauti tukifanya biashara nao nk nk. Hizo ndizo hatua zifaazo sio kelele, eg tulikuwa na Bora, tukamuuzia mwekezaji Bomu, je amechukua hatua gani angalau tuweze kutengeneza magongo, au viatu vya shule kwa watoto, unakumbuka imara shoe, au hata ofisini, hivyo vya harusi tujipe miaka 10 ijayo lakini tuonyeshe dalili za kwenda huko.
   
 13. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  As much as I don't want to be a Kikwete advocate, these are points dating back at least to the South Commision's Nyerere/ Tradeau vs The North's Reagan/ Thatcher summit in Cancun Mexico 1981 (Cancun-1), when Nyerere and the then finance minister Amir Jamal confronted the West on it's two faced hipocrisy of demanding free trade standards from Africa and at the same time engaging in anti-free trade conduct such as the said subsideies.

  By far we have a lot of problems on our own without even figuring the subsidies into the equatuion, but disputing the relevancy of this age old hipocrisy is not only unfair, but robs a deeper analysis of free trade the proper perspective.Free trade ain't so free after all, and Kikwete, as much as an escapist and prone to scapegoating as he is, cannot be dismissed on this count. for it is a real concern.
   
 14. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sijui hayo maziwa unayotaka kupeleka nje yako wapi wakati watanzania hawanyi maziwa. Kuwe na mikakati ya kupata hayo maziwa na uondoa kwanza njaa nje ya nchi ndio tutafute soko nje. Pili, kwanini tutafute soko la nyama uingereza na marekani wakati tukiuza nyama yetu nchi zinazotuzunguka tutapata fedha ya kustosha? hiyo mifugo iliyoshiba ya kuuza iko wapi Tanzania hii, pamoja na kuwa miongoni mwa nchi zenye utajiri wa mifugo afrika?

  Tatizo la viongozi wetu wanatafuta majibu mepesi kwa maswali magumu, na kutoa majibu mazito kwa maswali mepesi!
   
 15. A

  August JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  unajua kuna wakati mwingine hua najiuliza , hivi Raisi wetu marafiki zake ni akinanani au washauri, maana katika dunia hii, kuna vitu unajifunza au unapata pointi toka kwa marafiki, sasa hata jioni anapoka kupumzika, kwanini asitafute watu wenye uwezo ili wawe wana mpa mpa extras, kama Iddi Simba licha na mapungufu mengine lakini yule jamaa namuona ana akili kidogo katika mambo ya uchumi na biashara, labda Dr Dau kutokana na shule yake etc etc, ili hata akitaka kutekeleza policies au akienda nje awe na pointi zilizo shiba au zinazo endana na mahali alipo.
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Tatizo la Kikwete ni mtu wa desa, hana originality wala hajui kutumia resources at his disposal kufanya research.Hizi kazi nyingine ni kuwapa washauri tu wanafanya research rais anaenda na madongo ya nguvu na mapya.Sasa wimbo ule ule aliouimba Nyerere 1981 unarudiwa vile vile, hata kama ni kweli, basi hamna hata a convincing remix? Mwishowe tunaonekana walalamishi tu.
   
 17. A

  August JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Na huu mkutano wa Cancun, Mexico naukumbuka sana, mpaka Reagan akasema afadhali amwage mahindi ya ziada baharini kuliko kutupa msaada.
  Hivi yule mwandishi Wilson Kaigarula? aliyekuwa anaandika makala kwenye Sunday News na Adam lusekelo Yupo wapi? Mara ya Mwisho najua alikuwa Mwandishi wa Marehemu Horace Kolimba.
   
 18. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2009
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nashangaa kwa hili. Kikwete anachoongea ni kitu cha wazi kabisa. Hata schollars wengi wa nchi za ulaya wanalizungumzia hilo la subsidies na distortions zinazoletwa na subsidies hizo kwenye third word. Nashangaa hili hatulioni.

  Hizi zinazoitwa EPA's ambazo nchi zetu zinasign na nchi zilizoendelea lengo lake ni kuhakikisha movement of goods kutoka nchi zilizoendelea kuja nchi maskini. Mojawapo ya goods hizo ni bidhaa za kilimo ambazo ziko heavily subsidized. Sasa wewe kama huoni kuwa subsidy zinaua competition, something must be wrong with you. Inawezekana una issues na rais wetu, lakini kutumia hii kumuua is not fair.

  Unaweza kusema kirahisi kuwa Kikwete amegundua kuwa maziwa ya ulaya yanakuwa subsidized. He should apply tarifs to ballance the effect of subsidies in our own markets. Lakini jambo hilo linazuiwa na WTO pamoja na IMF. Na ukifanya hivyo hupati mikopo!

  so in one end wanajaribu kupromote biashara huru isiyo na mipaka lakini upande mwingine wanataka bidhaa zao ziingie katika masoko yetu bila vikwazo, wakati bidhaa hizo zinapata subsidies. Fair competition hapa haiwezekani kamwe. Ndo maana wanatuunga katika vikundi vya nchi na wanaviita trading blocks. Humo ndani ya vikundi kuna watawala ambao they care less about their people na watasign anything. Halafu hata akiwepo anayebisha unashindwa kusimmama kwa sababu the whole group imekubali.

  Wakulima wa Afrika wanapata matatizo kwa sababu mazao yao hayapati fair price. Matokeo yake wanapata hasara. Sasa kwenye supermarket ya Mlimani City ukikuta kuku aliyezalishwa ulaya, unadhani kuna nafasi kwa wazalishaji kuku wa bongo? Kuku wa ulaya aliyelipiwa subsidies atauzwa kwa bei nzuri kuliko yule aliyezalishwa Tanzania, the only way ya kufuta hiyo advantage ni kuweka tariffs ambazo zinakataliwa na hizi Economic Partnership Agreements.
   
 19. A

  August JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Sasa kwani nini ni sisi tu? tunao iona hii au kupata hayo madhara kuwa makubwa zaidi kuliko kwingine.
  Angalia Rwanda wametoka kwenye Vita 10 years ago wanakwenda mbele na si na kulalama tu, Uganda tumewakomba kutoka kwa nduli, wameanza from zero again, wapo wapi, angalia Msumbiji na vita vya Renamo wapo wapi? hata tukija katika individual level sema ya kwangu na ya kwako, je si unafanya juhudi za kujitoa hapo ulipo, licha ya mazingira yanayo kuzunguka kutokuwa mazuri lakini si unajaribu.
  Hapa kuna mtu ametoa mfano wa maziwa na nyama, je uzalishaji wetu upoje? kuna kiwanda arusha wanasema maziwa haya toshi kuwekeza hivyo wanapeleka kenya kuwa processed, je hili unaliangalia vipi au una pambana nalo vipi? tunashindwa hata kuzalisha jibini kutosheleza mahitaji yetu etc etc ndio unaongelea kupeleka nje, si unajidanganya mwenyewe au ndio hiyo kuonekana kwamba unafikra za huko wakati kilicho mbele yako kina kushinda. fukwe tu za bahari tunashindwa kuziendeleza, ndio utaongelea kupeleka bidha zako ulaya.
   
 20. M

  Materanus Member

  #20
  Jul 30, 2009
  Joined: Jan 18, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani hapo JK ameongea jambo la mbolea, kwani kudemand fair play ni haki yake ndani ya utandawazi. Hao wazungu na wamarekani wanatakiwa kupractice what they preach, kama ni free market, basi wasichanganye na protectionism wakati huo huo. Kwa mantiki hiyo JK ana haki ya kudemand fair play. Lakini anatakiwa kuboresha washiriki wake kwani mapaka sasa hata subsidies zikiondolewa, yeye hauwezi ushindani hata kwa Kenya au Uganda.
   
Loading...