jamaa uwa hatanii,ukiona kwao mbarara amepajenga vizuri mji mzuri,kampala barabara mbaya sana sehemu ambazo wanamkubali naye amewakubali,sehemu ambazo hawajamkubali wanasaga meno
Kama kiongozi mkuu wa nchi hapaswi/ hakupaswa kufanya hivi ni upotofu na ufinyu wa mawazo na fikara, Kampala inatia simanzi kwakweli, wakija kumchoka kabisa ataisoma
Soon after becoming president in 1986, Mr. Museveni said, The problem of Africa in general and Uganda in particular is not the people but leaders who want to overstay in power. Hypocrite!
Never ever believe politicians Tokyo40
Museven ndiye ameiweza uganda, acha atawale hata milele.