Museveni ataka Afrika kujiondoa ICC

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,298
33,083
140919115148_yoweri_museveni_512x288_bbc_nocredit.jpg

Rais Museveni alialikwa kwa sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Kenya zilizofanyika mjini Nairobi

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa mara nyingine amekeji mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu ICC akisema inakandamiza bara la Afrika.

Kauli ya Museveni imekuja baada ya kiongozi wa mashataka wa mahakama hiyo Fatou Bensouda kumwondolea mashtaka Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Akizungumza katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 tangu Kenya ijipatie Uhuru mjini Nairobi Museveni amesema kuwa atapeleka mswada katika mkutano wa Umoja Afrika wa kuzitaka nchi zote za bara Afrika kujiondoa katika uanachama wa ICC.

Kadhalika ameshutumu Mahakama hiyo na kusema kuwa inapendelea kuwadhulumu viongozi wa kiafrika.
Naibu Rais wa Kenya ambaye anakabiliwa na kesi katika mahakama hiyo William Ruto amesema kuwa ana hakika kesi yake

itatupiliwa mbali jinsi ilivyofanyika katika ile Uhuru Kenyatta akitaja kesi hiyo kuwa iliathiriwa na siasa.
Rais Museveni alikua kwenye sherehe hizo kwa mwaliko wa serikali ya Kenya. Viongozi wengine walioalikwa kweny sherehe hizo ni Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Ghana John Mahama.


Chanzo:BBC
 
140919115148_yoweri_museveni_512x288_bbc_nocredit.jpg

Rais Museveni alialikwa kwa sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Kenya zilizofanyika mjini Nairobi

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa mara nyingine amekeji mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu ICC akisema inakandamiza bara la Afrika.


Kauli ya Museveni imekuja baada ya kiongozi wa mashataka wa mahakama hiyo Fatou Bensouda kumwondolea mashtaka Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.


Akizungumza katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 tangu Kenya ijipatie Uhuru mjini Nairobi Museveni amesema kuwa atapeleka mswada katika mkutano wa Umoja Afrika wa kuzitaka nchi zote za bara Afrika kujiondoa katika uanachama wa ICC.


Kadhalika ameshutumu Mahakama hiyo na kusema kuwa inapendelea kuwadhulumu viongozi wa kiafrika.

Naibu Rais wa Kenya ambaye anakabiliwa na kesi katika mahakama hiyo William Ruto amesema kuwa ana hakika kesi yake

itatupiliwa mbali jinsi ilivyofanyika katika ile Uhuru Kenyatta akitaja kesi hiyo kuwa iliathiriwa na siasa.

Rais Museveni alikua kwenye sherehe hizo kwa mwaliko wa serikali ya Kenya. Viongozi wengine walioalikwa kweny sherehe hizo ni Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Ghana John Mahama.Chanzo.BBC

Kipaumbele cha Afrika sio kujitoa icc bali kuchukua hatua zote za kukomesha mauaji Kenya,Somalia,Sudan,Sudan kusini,Lybya,Mali,Ivory Coast,CAR,DRC,Burundi,Rwanda,Uganda lords army nk
 
Museven, like any other tyrants are so desperate about ICC. anajua kuwa Leo ilikuwa ni Uhuru Kenyatta but tommorow it might be him. MUSEVENI na KAGAME are next victim of ICC. nilimsikiliza Kaguta jana akitoa salamu zake kwa wananchi wa kenya on Jamhuri day, he proposed of introducing a motion on next AU meeting, urging all African countries to vote against ICC na hivyo kijitoa. ni sababu za kijinga kama alivyowaita "watu wa ulaya wajinga"


THE ROME STATUTES OF 1998 OF INTERNATIONAL CRIMINAL COURT (of which uganda is a signatory)


The Rome statutes of 1998 establishing the ICC, under Article 7 provides for the interpretation about War Crime and what act can be perceived and interpreted as war crime. the article stipulation is hereunder provided;

For the purpose of this Statute, ‘crime against humanity' means any of the following acts when committed as part of a widespread or systematic attack directed against any civilian population, with knowledge of the attack:
(a) Murder;
(b) Extermination;
(c) Enslavement;
(d) Deportation or forcible transfer of population;
(e) Imprisonment or other severe deprivation of physical liberty in violation of fundamental rules of international law;
(f) Torture;
(g) Rape, sexual slavery, enforced prostitution, forced pregnancy, enforced sterilization, or any other form of sexual violence of comparable gravity;
(h) Persecution against any identifiable group or collectivity on political, racial, national, ethnic, cultural, religious, gender as defined in paragraph 3, or other grounds that are universally recognized as impermissible under
international law, in connection with any act referred to in this paragraph
or any crime within the jurisdiction of the Court;
(i) Enforced disappearance of persons;
(j) The crime of apartheid;
(k) Other inhumane acts of a similar character intentionally causing great suffering, or serious injury to body or to mental or physical health


APPLICABLE PENALTIES


The same statute provides for penalties for any person found guilty of war crime or crime against humanity. for instance article 77 (1) provides that, the Court may impose one of the following penalties on a
person convicted of a crime referred to in article 5 of this Statute:

(a) Imprisonment for a specified number of years, which may not exceed a maximum of 30 years; or

(b) A term of life imprisonment when justified by the extreme gravity of the crime and the individual circumstances of the convicted person.

WHO IS SAFE

Hakuna aliye sarama ukisoma vifungu hivyo vichache nilivyoweka hapo juu. ndo maana viongozi wengi wa kiafrika wamekuja na kauli mbiu ya kuitosa ICC ili wasije kushitakiwa mbele ya safari. kwani bado kuna kesi ya kujibu kwa MUSEVENI na KAGAME kwa mauaji nchini DRC. Time will tell.


JINSI YA KUJITOA KUWA MWANACHAMA WA ICC

Nchi zote 54 chini ya uachama wa AU ni wanachama na signatories wa ICC. bahati mbaya the Rome statute imeacha gap kuhusu jinsi ya kujitoa. haionyeshi any legal procedure and compliances for the member states from quitting the ICC. Hata hivyo kuna procedure ambazo hazina legal back

(1) Bunge linaweza kupiga kura ya kujitoa uanachama wa ICC

(2) Serikali husika/nchi husika inaweza kuandika barua kwa ICC ya Kujitoa uanachama wa ICC and the ICC is

not subjected to any pressure of responding immediately to such demand/submission.

(3) kukoma uanachama (Dismemberment) is only due upon the ICC assenting to the demand/request as it think deem and fit to do so. kwa maana nyingine ni kwamba kupeleka muswada wa kujitoa ICC siyo mwisho wa kuwajibika kwa taifa husika.

UNIVERSAL DECLARATION FOR HUMAN RIGHT OF 1948


Ibara ya 19 ya Universal Declaration of human Right of 1948 provides that; "Everyone has the right to freedom of opinion and expression; this right includes freedom to hold opinions without interference and to seek, receive and impart information and ideas through any media and regardless of frontiers".

MUSEVENI amekiuka sheria hii kwa miaka mingi sana pamoja na PK.

Convention on the Prevention and Punishment of the Crime of Genocide
Article 3 of the UN convention against genocide puts the following acts shall be punishable:

(a) Genocide;

(b) Conspiracy to commit genocide;

(c) Direct and public incitement to commit genocide;

(d) Attempt to commit genocide;

(e) Complicity in genocide.
Article 4 of the UN Charter against genocide

Persons committing genocide or any of the other acts enumerated in Article 3 shall be punished, whether they are constitutionally responsible rulers, public officials or private individuals.


RESOLUTION

Kwa misingi ya democracy duniani, hata kama watajitoa ICC, siyo kinga or escape kwa viongozi kama M7 or Al-bashir kutoshitakiwa kwa uharifu wa kivita or uharifu dhidi ya binadamu. watashitakiwa tu hata wakijitoa leo AU Kesho.....!!!






 
Unahabari kwamba rwanda siyo signatory wa icc?rwanda waliliona hilo taka kipindi..lakini waafrika wengine wasio kua makini walikurupuka na kusaini sasa wanayaona ambayo rwanda walikataa,hiyo mahakama ita deal na walewote waliosaini kushirikiana na I cc..so sorry wanao stahili kwenda huko ni wewe na baba yenu siyo pk au mnyarwanda yeyote.
 
Mseveni anahamasisha kujitoa ili wachinje watu, wakiuke haki za binadamu na kufanya lolote watakalo katika tawala zao kama shamba la predators bila jicho la tatu?

Kwa utawala kama wa ccm, agenda ya kujiondoa ICC ni kuidhinisha mauaji ya kisiasa na ya raia wasio na hatia yafanywe bila hata chembe ya hofu. Sasa hivi yanafanyika kwa kificho kwa hofu za ICC kwamba watawala watashitakiwa. Mkijiondoa nani anaweza kuwawajibisha hawa watawala nyang'au?

By the way, kuachiwa kwa uhuru kenyata kwa kuwa tu waliwanyima ushahidi iCC, haitendi haki kwa walipoteza ndugu, viungo na mali zao katika machafuko. Kumwachia Uhuru ni dalili tosha kwamba ICC haitamhukumu mtu makosa bila taratibu. Kama serikali ya kenye ingelikuwa inajali watu wake, basi baada ya kuona Uhuru hana hatia, basi wangetoa ushirikiano kwa yeyote aliyeasisi mauaji hayo apelekwe mbele ya sheria ili haki itendeke.

Ni jambo la ajabu kutetea unyang'ua iliodhahiri kwa misingi tu kwamba wanaochunguza ni weupe. Ok. ninyi weuzi mnaojidai kwamba mnaonewa, mbona masual amadogo madogo tu yanashindikana kwa ajili ya ill governance? Watu wameuawa, wamepoteza viungo na mali zao, hao wahusika mmewachukulia hatua gani?

Hii idea ni wendawazimu wa mitawala nyang'au!.
 
Unahabari kwamba rwanda siyo signatory wa icc?rwanda waliliona hilo taka kipindi..lakini waafrika wengine wasio kua makini walikurupuka na kusaini sasa wanayaona ambayo rwanda walikataa,hiyo mahakama ita deal na walewote waliosaini kushirikiana na I cc..so sorry wanao stahili kwenda huko ni wewe na baba yenu siyo pk au mnyarwanda yeyote.

Hope against Hope. that's what you are trying to insinuate here!!



(1) Naamini unaongea kwa Ushabiki-(unashabikia nchi yako) lakini hili suala siyo la Ushabiki. Unaweza kuamua kubaki shabiki ili uendelee kuwa blind and ignorant to some extent OR be neutral and able to learn

(2) Naamini hujasoma UN charter, Rome Statute na wala hujui role ya UN security Council na Huenda hutaki hata kusikia

(3) Hujui kwamba Sudan siyo signatory wa ICC, lakini kuna arrest warrant dhidi ya Al-bashir na ipo siku tu lazima akajibu tuhuma dhidi ya uharifu wa kivita na uharifu dhidi ya Binadam

Time will always be the signal
 
Back
Top Bottom