Museveni appoints wife Janet Education Minister

Museveni appoints wife Janet Education Minister

inazidi kututhibitishia kuwa maisha ya mwanadamu yalianzia olduvai george ndugu Ngongo
Kila mara jambo jipya linaanzia Afrika.[/QUOTE]
 
Yaani kati ya Mawaziri 80+ mumeona Janeth M7 tu, hakika binadamu tuna mapungufu!
 
Soma vizuri uzi kwani mawaziri hawajazungumziwa!?

Labda na wewe unataka sifa kupitia kwangu, huoni watu wengi wanamkosoa M7 kwa kumteua mkewe kuwa Waziri?

Tumia Akili kufikiria!
 
Labda na wewe unataka sifa kupitia kwangu, huoni watu wengi wanamkosoa M7 kwa kumteua mkewe kuwa Waziri?

Tumia Akili kufikiria!
Mbona hueleweki.. M7 sijamsifia nimekuambia soma vizuri thread imemkosoa kwa kumteua mke wake na ukubwa wa baraza la mawaziri.. Sasa sifa kwako mimi ya nn!?
 
Back
Top Bottom