Jangili anae angamiza faru na tembo ni m baya zaidi kuliko bwabwa. japo sitetei machele lkn tungeanza na majangili na wauza sembe ndio tuje kwenye machele
Mtakuja kusikia kitakachomkuta. Hatuyapendi haya mambo lakini walioyashikia kidedea ndiyo hao mabosi wa dunia. But hongera kwake kwa kuonesha msimamo utakaodumu kwa muda.
Rais wa uganda
amekubali kusain muswada utakaowafunga mashoga na wasagaji na kuweka vifungo ikiwemo kufunga maisha
ahsante presidaa uchafu huu usiwepo tena
Huyu ndio mwanaume sio yule shoga ambaye ameshindwa kuukemea ushoga CNN juzi
Japo si jukwaa la utani ila nimecheka sana! Huyo wa cnn ndo nani tena, au cheupe mzee wa tabasamu?
Mkuu nilikuwa nimeipita hii uzi yako lakini kila nikienda nawaza hivi hawa Mods jinsi walivyo waonezi hawajakupiga Ban tu? Ikabidi nirudi kukuchungulia nikakukuta uko online! Ila mkuu wewe umepinda kweli kweli!!