Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Ohoo so tutegemee ushindani na kushuka bei kwa nvidia na kwa AMD. Hata hivyo amd device zao cheap sana.
Basi tu vile bongo hazishushwi sana na kuwa nyingi.
Kweli Amd device zao bei rahisi, kuna laptop fulani ya walmart niliiona dola 250 tu ya ryzen 3,

Sema na wao kwenye Ryzen 4000u series wamepandisha bei, hope Watashusha kwa ujio huu Wa tiger lake.

Huyo Nvidia siku hizi anaringa sana, kuna Demand kubwa ya Gpu zake kwenye data centre hivyo usitegemee ashushe bei.
 
Msaada kuusu network ya halotel kuna sehemu Nikuwa nimepanga mwanzo nilikuwa napata Mbps 1 ila ikawa inaongezeka kila kila ikitegemea na nili upgrade ram kutoka 4 GB mpk 8 GB nikawa napata Mbps 5 pare second sasaiv nimehama pale napo kaa Jana nimejalibu kudownload movie network INA kb 500 tu natumia smart kitoch 4 je kuna uwezekano wowote wa kuendelea kupata network zaid
 
Unapata 4G? Maana hii ni muhimu, 4g kwa Halotel tegemea na eneo na kifaa inafika 100mbps na zaidi. Kama eneo la mwanzo lina 4g na la sasa halina hio ndio sababu.

Pia jaribu kupima speed sometime unaweza pata speed ndogo ikiwa unadownload kitu toka kwenye server ambayo ipo slow.

Tumia fast.com kupima
 
Yeah ni 4g kwani halotel 4g haipo powa sana mkuu
 
Nieleweshe kitu kuusu hiii fast.com
Kazi yake inaonyesha ukubwa wa network yako au vipi
Speed ya Network, namna ambavyo unaweza ku download vitu kwa haraka. Mfano yako ni 1.5mbps inamaana kila sekunde unaweza kusafirisha mb 1.5
 
IMG_4806.png
 
Duuuuh ila naona anatumia WiFi kwa network za mitandao ya kawaida hiii upate sehemu nzuri kidogo
Mitandao ya Simu pia unapata hio speed, hasa Voda na Halotel ni kitu cha kawaida kupata 50mbps ama zaidi.
 
Kaka Chief mkwawa

Nilijaribu kufanya window shop kwanza kuhusiana na kutafuta laptop yenye uwezo
Wa

generation ya 4 lakini nikakosa nikapata ya generation ya 3 yenye uwezo wa

Model Dell 5430

Ram 4

Hard disck 500gb

Core !3 processer 2.5

Kwa budget ya 400000/= japo inaupya polia

Bado sijaifanya maamuzi ya kununua kwamba generation ya 3 itafaa?

Ushauri wako tafadhal!
 
mkuu gen ya 4 kwa laki 4 zipo za kumwaga sana, kkoo umekosa kabisa? maduka ya wasomali pale uhuru?
 
Back
Top Bottom