Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Safi sana Kaka umefanya na kutimiza wajibu wako kijamii
 
Chief naomba unieleze kidogo ubora wa laptop ya dell xps 13, na kama hutojali uniambie ubora wa hizo dell xps zina ubora gani mkuu? Asante
 
Chief-Mkwawa mkuu wewe unauza PCs
 
Hp yenye vigezo hivi hapa inauzwa

Intel core i5 12th gen. 16GB Ram 512GB ssd. @0658190978
 
Hongera kwa elimu hii
 
Chief,
Naomba kujua shida ya hii mashine nini kuwa slow kwenye utendaji wa kazi, hata kurestart inachukua muda murefu kuwaka.
 

Attachments

  • IMG_20250501_084200.jpg
    1.3 MB · Views: 24
Hapana
Ni hard drive.
Basi hili ndio tatizo mkuu, software za kisasa nyingi haziendani na hard drive.

Kuhakiki zaidi wakati ikiwa slow ingia task manager angalia cpu, ram na storage ipi imejaa? Hio ndo ya kubadili.

Tafuta ssd hata ndogo tu gb 128 ama 256GB piga windows kwenye ssd na software muhimu kama browser weka kwenye ssd, vitu kama games, movie, mziki weka kwenye hdd.
 
Asante sana.
 
Sahamani tena chief, nisaidie pia hii kama ni ya kupgrade Ssd nayo inatumia Hard drive iko slow sana
Hapa Ram ndogo sana 4GB ongeza 4GB nyengine pia sijajua kama ina ssd ama la, laptop za kisasa kama hizi huwa zinakubali M2 ssd incase haina unaweza weka ssd juu ya hdd.
 

Mkuu, uzi unahitaji updates zaidi. Nauliza juu ya hizi Copilot+PC, ni PC za aina gani na kwanini ni muhimu kuwa nayo kwa zama hizi?.

Authorized Dealer wa Lenovo nampata wapi kwa Dar?.
 
View attachment 3323384
Mkuu, uzi unahitaji updates zaidi. Nauliza juu ya hizi Copilot+PC, ni PC za aina gani na kwanini ni muhimu kuwa nayo kwa zama hizi?.

Authorized Dealer wa Lenovo nampata wapi kwa Dar?.
Kuna kitu kimeongezeka baada Ya Cpu na GPU Kinaitwa NPU (Neural processing unit), wanapima nguvu yake kwa kutumia Tops, Laptop ikiwa na tops 40 kupanda inapewa label ya Copilot ili kumuonesha mteja ina uwezo wa kuhandle features za AI za windows locally, kama Huna hizo Tops still unaweza tumia AI ila itabidi tu uwe na internet.

So u muhimu wake ni huo utaweza kutumia AI offline, range ya Apps za Microsoft kuanzia Word, Excel, Edge, Explorer etc zote zina AI features nyingi za kibiashara utaweza kuzitumia.

Jambo jengine ambalo indirect ni zuri kuhusu copilot ni kwamba AI ina Demand sana hivyo laptop yoyote ya Copilot minimum itakua na 16GB, cpu na Gpu yenye nguvu, hivyo huwezi kuuziwa kimeo hata kama hujui kuchagua laptop.

Kwenye website yao wame mention dealers watano official Tanzania

1. Simply
2. Sound and Vision
3. Kool techware
4. Comput3ch
5. Computer centre.

Wameweka na link za website zao hapa
 
Shukrani kwa maelezo mazuri, ngoja niwa-explore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…