Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Naomba kujua watu wameanza kujaza bodi ya mikopo...?
Kwa matokeo hayo, Chuo Kikuu hapana.Kijana wangu kapata matokeo yafuatayo Physics E Chemistry E B/Mathematics D naomba kuuliza kwa matokeo haya anaweza kupata Nafasi chuo kikuu? Kama anaweza ni chuo gani kinachoweza kumpatia nafasi na kwa Course IPI? Na kuhusu mkopo je anaweza kupata? Naomba ushauri wenu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaKwa matokeo hayo, Chuo Kikuu hapana.
Mkopo nao automatically hataupata.
Nakushauri aanzie Diploma kwanza kisha Degree baadae.
Asante kwa mchango wako,mkuu.C+E= 4.0
Kwa mujibu wa tcu.ac.tz unaweza kusoma ila sio vyuo vyote wala kozi zoote.
hivyo akiomba aangalie ushindani na vigezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa CE anazo points 4 mkuuAsante mkuu kwa mchango wako,ila naomba kuuliza,huyu kijana atakuwa anazo point ngapi hapo?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kaka kama unaweza nitumie link ya tcuIngia tcu kwenye webiste yao cheki
DIPLOMA MKUU NAONA WAMEBANA WANAANGALIA MATOKEO YA FORM FOUR LAZIMA AWE NA PHYSICSkwenda chuo bachelor mpaka D 2 ambapo ndiyo principle pass ya kukubaliwa chuo kikuu sasa hapo labda aaanzie diploma ndo aende degree
sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Akasome diploma Animal health vyuo vingi tu ajichagulie hukoNdugu zangu nimechanganyikiwa kuna mdogo wangu amepata three ya 14 combination ya CBN EED KIDATO CHA NNE HAKUSOMA PHYSCIS
TUMUOMBEE CHUO GANI AFYA UALIMU ZINAGOMA?MSAADA JAMANI PLSSSS NAOMBENI AKILI YANGU IMESTACK SASA
NASHUKURUNI KWA USHAURI NA MSAADA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole sana kwa huyo ndugu yako kupata point hizo, in short hawezi kupata kozi ngazi ya degree sababu minimum requirements ni points 4.0 ambazo ni DD mbili ambazo huyo hana... Hakuna namna, ukweli unauma na machungu lakini huna namna zaidi ya kuukubali tu... Option pekee ni kusoma diploma tu ila kama mkwanja home upo peleka nje ya nchi atapiga degree bila wasiNdugu zangu nimechanganyikiwa kuna mdogo wangu amepata three ya 14 combination ya CBN EED KIDATO CHA NNE HAKUSOMA PHYSCIS
TUMUOMBEE CHUO GANI AFYA UALIMU ZINAGOMA?MSAADA JAMANI PLSSSS NAOMBENI AKILI YANGU IMESTACK SASA
NASHUKURUNI KWA USHAURI NA MSAADA
Sent using Jamii Forums mobile app
Diploma ya ualimu na afya kila sehemu D PHYSICS NIFANYAJE?Mkuu pole sana kwa huyo ndugu yako kupata point hizo, in short hawezi kupata kozi ngazi ya degree sababu minimum requirements ni points 4.0 ambazo ni DD mbili ambazo huyo hana... Hakuna namna, ukweli unauma na machungu lakini huna namna zaidi ya kuukubali tu... Option pekee ni kusoma diploma tu ila kama mkwanja home upo peleka nje ya nchi atapiga degree bila wasi
Sent using Jamii Forums mobile app
UALIMU NA AFYA KILA KOZI WANATAKA D YA PHYSICShadi diploma ya ualiu D ya physics?