Mr Crispin
Member
- Jul 20, 2020
- 29
- 80
Umeona kama mimi nilivyoona, ila sisi tutaenda kumpokea Lissu.Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......
Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Na baada ya hapa Mh Lissu ataelekea moja kwa moja kwenye eneo la msiba na kusaini kitabu cha maombolezoAmani iwe nanyi wadau wote!
Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.
Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.
Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.
Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.
Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kofi cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.
Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.
Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.
Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.
No Hate No Fear
Ahahahaha endelea kuwajaza upepoNiko Ruvuma ila jumapili naingia Dar kwa ajili ya kumpokea Tundu Lissu hapo Dar es Salaam
Lissu ni mwananchi mwenzetu na makamu wa mwenyekiti chadema ambaye alijeruhiwa vibaya na watu wabaya wakitaka kutoa uhai wake. Kupona kwake tu ni ishara kuwa huyu Mtu Mungu yupo naye na Mungu ni Nuru kwa iyo ndani ya Lissu kuna Nuru.Hii Tabia ya kuwasemea watanzania ikome!
Hii Tabia ya kuwahusisha watanzania na Mambo ya kihuni na muhuni wenu mkome!
Lisu ni na Nani nchi hii?
hakuna mwananchi anayedhurumiwa ila wazembe kama nyie mnaoshinda mitandaoni bila kufanya kazi mnataka hela za bure ndiyo mnaona mnazurumwa fanyeni kaziIla Mungu ahusishwe katika matendo ya kudhurumu haki ya watu kuishi.
Kutoka ughaibuni alikoenda kutibiwa kutokana na nyie kutaka kupoteza uhai wake.Apokelewe kutoka wapi?
kumbuka pia kuwa wenyeji wake watakuwepo uwanjani kumpokea na defender kumpeleka kupumzika plale segereaNa baada ya hapa Mh Lissu ataelekea moja kwa moja kwenye eneo la msiba na kusaini kitabu cha maombolezo
Kitendo cha Mungu kumponya kwenye risasi zenu 38 mlizozipiga kwake ili kumuua ni lazima tumuhusishe Yeye katika kila kitu juu yake LissuUSIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Thubutu ! labda kama mnataka kuvuruga maombolezokumbuka pia kuwa wenyeji wake watakuwepo uwanjani kumpokea na defender kumpeleka kupumzika plale segerea
Haaaa weee! mnyooyeshe kwenda wapi? hapo sasa ni fujooo!tukishampokea Shujaa wetu, then tunyooshe moja kwa moja msibani...
nafikiri hutaweza hata kuona maana wataanza kukamatwa vihelehele kama wewe kwanzaThubutu !
Amani iwe nanyi wadau wote!
Najua Tanzania tuko na msiba mzito wa mzee wetu Benjamin William Mkapa na pia siku ya Jumatatu tutakuwa na tukio kubwa na la kipekee la kumpokea shujaa yetu, mtu wetu na nuru iliyoletwa kwetu na Mungu. Si mwingine bali ni Tundu Antipas Lissu.
Hivyo basi katika siku Hii ni mapendekezo yangu kuwa watu wengi tujitokeze kwa wingi kumpokea huyu shujaa wetu pale uwanja wa ndege kuanzia Majira ya asubuhi kwa ajili ya kumpokea.
Pia kutokana na siku hii kuwa pia na huu msiba mzito napendekeza watanzania wote siku hiyo tuvae nguo nyeupe na nyeusi kwa sababu kuu mbili.
Nguo nyeupe zitaashiria alama ya Nuru kutokana na kuja kwa Tundu Lissu anayewakilisha Nuru kwa watanzania.
Nguo nyeusi zitaashiria kuomboleza kwetu kutokana na Kofi cha mzee wetu Benjamin William Mkapa.
Kama watanzania tukifanya hivi tutakuwa tumeheshimu msiba wa mzee wetu na mapokezi makubwa ya Nuru iliyotumwa kwetu na Mungu Tundu Antipas Lissu.
Tumpokee wa wingi shujaa wetu Tundu antipas Lissu huku tukimuomboleza mzee wetu Mkapa.
Maandamano ya kumpokea Lissu yatakuwa ya amani na hakutakuwa na fujo yeyote.
No Hate No Fear
Huyo ni shujaa wa nyumbani kwenu layman, nenden hata mkapokee bila nguo!!Amani iwe nanyi wadau wote!

Mtasababisha' comforter in Chief'asitokee kabisaNa baada ya hapa Mh Lissu ataelekea moja kwa moja kwenye eneo la msiba na kusaini kitabu cha maombolezo
Acheni Mambo ya kisaniiLissu ni mwananchi mwenzetu na makamu wa mwenyekiti chadema ambaye alijeruhiwa vibaya na watu wabaya wakitaka kutoa uhai wake. Kupona kwake tu ni ishara kuwa huyu Mtu Mungu yupo naye na Mungu ni Nuru kwa iyo ndani ya Lissu kuna Nuru.
karibu jf kijana , maana ni dhahiri huwafahamu watu humunafikiri hutaweza hata kuona maana wataanza kukamatwa vihelehele kama wewe kwanza
watunawafahamu na vilaza kama wewe nao nawajuakaribu jf kijana , maana ni dhahiri huwafahamu watu humu
Hivi hizo nguo zinagawiwa wapi? Nasikia watazigawa CHADEMA - ila sijui watakuwa wapi!Amani iwe nanyi wadau wote!