Nenda Bank yeyote onana na Manager au tumia wafanyakazi unaowafahamu waambie wakutafitie Internship au tuma maombi... Usitume online nenda moja Kwa moja..Mimi nina diploma ya procurement and logistic management natafuta kazi bank
Unapenda ufanye kazi gani haswa bank?Mimi nina diploma ya procurement and logistic management natafuta kazi bank
Good idea thank youNenda Bank yeyote onana na Manager au tumia wafanyakazi unaowafahamu waambie wakutafitie Internship au tuma maombi... Usitume online nenda moja Kwa moja..
Fanya hiyo internship Kwa miezi sita.. Fanya bure tuu..
The rest is history!
Una kasi yakuandika kwenye keyboard na kuhesaba pesa nyingi bilakutumia mashine, kiasi gani una weza hesabu? na kompyuta aina gani kati ya windows na mac unaweza tumia? na kasi yako yakuchapicha kwa kompyupa ipoje?Bank teller
Loan Officer
...usimuulize maswali ya kindezi kama huna msaada;Una kasi yakuandika kwenye keyboard na kuhesaba pesa nyingi bilakutumia mashine, kiasi gani una weza hesabu? na kompyuta aina gani kati ya windows na mac unaweza tumia? na kasi yako yakuchapicha kwa kompyupa ipoje?
Wewe umejuwaje sina msaada?, vitu ambavyo havikuhusu achana navyo....usimuulize maswali ya kindezi kama huna msaada;
..kompyupa ndo nini we fala
....maswali yako tu yanajieleza;eti kuhesabu hela kwa mkonoWewe umejuwaje sina msaada?, vitu ambavyo havikuhusu achana navyo.
Nina maana maalumu nilipo muliza hilo swali. vitu ambavyo havi kuhusu achana navyo.....maswali yako tu yanajieleza;eti kuhesabu hela kwa mkono
walio Ingia wote.walkuwa wanajua computer.huwezi ingia nyumba ya mtu bila kuelekezwa hiki choo .bafu na n,k kaka nenda kaombe utapata...usimuulize maswali ya kindezi kama huna msaada;
..kompyupa ndo nini we fala
....huna maana yoyote punguza mashauzi!Nina maana maalumu nilipo muliza hilo swali. vitu ambavyo havi kuhusu achana navyo.
....kuna kuzi mmoja anauliza maswali ya spidi ya kuhesabu hela kwa mkono,sijui kutype na aina ya kompyuta unayoweza kutumia wakati banks zinatoa training kwa waajiriwa wapya especially hawa wa ngazi za chini!walio Ingia wote.walkuwa wanajua computer.huwezi ingia nyumba ya mtu bila kuelekezwa hiki choo .bafu na n,k kaka nenda kaombe utapata
Sina muda wakujibizana na wewe.....huna maana yoyote punguza mashauzi!
...na unajuaje havinihusu;wewe unaeuliza maswali ya kikuzi ndo achana na vitu visivyokuhusu;kimsingi huvijui!
....kakojoe ukalale;next time usijitie kimbelembele kwa vitu usivyovielewa shangazi!Sina muda wakujibizana na wewe.
Hivi vitoto vya fb toka vifunge shule vinasumbua kweli huku jamii forum wacha shule zifunguliwe tu. wewe kipi unacho juwa?....kakojoe ukalale;next time usijitie kimbelembele kwa vitu usivyovielewa shangazi!
.....teh hee hee hee...,eti vitoto vya fb!Hivi vitoto vya fb toka vifunge shule vinasumbua kweli huku jamii forum wacha shule zifunguliwe tu. wewe kipi unacho juwa?