MUONGOZO KUHUSU APP

chuma jr

Member
Oct 17, 2015
67
125
Habari zenu wana jamvi naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuanzisha APP ya wafanya biashara kama vile kupatana.com naomba kujua jinsi ya kuendesha hiyo app na pia naomba kujua ni faida gani mmiliki atazipata na ni njia zipi ambazo mmiliki anatakiwa azitumie ili kujipatia faida kupitia hiyo app yake na pia ningependa kujua kama kuna umuhimu wa kufungua ofisi.

Wajuzi wa haya mambo naombeni msaada wenu wakuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom