Muongozo biashara ya vyombo

Muongozo biashara ya vyombo

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,858
Reaction score
4,562
Salaam Wanajukwaa.
Kama heading ijielezavyo, katika kuendelea na harakati, leo Wanajf nimekuja tena kuomba muongozo wa biashara ya vyombo kwa mwenye kuijua hata kwa uchache wake

1.Je kwa uchache at least mtaji uanzie kiasi gani.
2.Kama nitaanzia kwa mtaji mdogo bidhaa zipi sio za kukosa au za kuanza nazo
3. Kwa unachojua zaidi kuhusu biashara hii toa mchango wako

EID MUBARAK
 
Nilionaga tangazo kwenye nguzo, mshahara 200k mimi huyo kwa mwenyekiti barua nikapewa, kufika site naikapigwa intavyuu, naulizwa una uzoefu na kazi (marketing director)nikajibu ndio eti intavyuu imeisha, najiuliza imeishaishaje kizembe hivi, naambiwa ingia na huyu agent humo, kuingia kumbe ni stoo ya vyombo, nilibebeshwa mabeseni, machupa na majagi sikuamini, afu jioni nalipwa buku5 sikurudi nikiona neno vyombo nakumbuka tu ile siku!
 
Mkuu ahsante kwa kushea ulichonacho

Nipo nazungumzia kuianzisha biashara ya vyombo mimi kama mimi
 
Nilionaga tangazo kwenye nguzo, mshahara 200k mimi huyo kwa mwenyekiti barua nikapewa, kufika site naikapigwa intavyuu, naulizwa una uzoefu na kazi (marketing director)nikajibu ndio eti intavyuu imeisha, najiuliza imeishaishaje kizembe hivi, naambiwa ingia na huyu agent humo, kuingia kumbe ni stoo ya vyombo, nilibebeshwa mabeseni, machupa na majagi sikuamini, afu jioni nalipwa buku5 sikurudi nikiona neno vyombo nakumbuka tu ile siku!
🤣🤣🤣🤣🤣 hayo mabango yaliwekwa huku kitaa kwenye 2016/17 hivi japo huku haikuandikwa malipo nilishawishika ila nilikuwa na shughuli za kufanya hivo mikapuuza.
 
Hahah ungejutia 😀
😆😆😆😂 yaani utembezwe kutwa nzima halafu upewe af tano! Hapo hujakula, hujalipa nauli, hujaweka vocha kwa ajili ya mawasiliano yaani hujafanya chochote, ah Vijana tuliotoka katika familia za kimasikini tunateseka sana.
 
Back
Top Bottom