Tatizo watanzania wanaotaka kumilikishwa vitalu uwezo wao ni mdogo na hata utaalam wa hiyo gesi hawana.nia yao kubwa ni udalali tu,akipewa naye amwite mchina avute chake then akae pembeni!
Mzee Mengi, ni mnafiki saana na anafaa kuogopwa kuliko UKIMWI au UKOMA, yaani anataka kutumia kelele za walala hoi apewe kitalu kesho akakiuze kwa makampuni ya nje.
Hana uwezo wa kuchimba wa kutafuta mafuta, ameshindwa nini kuwekeza kwenye matunda?
Suala hili kina mengi na wengine wanalichukulia kibinafsi zaidi .wameweka maslahi yao binafsi na sio njia sahihi ya wananchi kunufaika ila watu wachache
Mfano wametoa wa nigeria ! Nchi ilio fail kabisa kutumia rasilimali hii kwwa manifaa ya nchi
Sera ya kubinafsisha ndio imezaw boko haram na makundi ya kivita jimbo la delta
Mara nyingi vitalu wamechukua viongozi na familia zao
Mimi wazo langu ni kwa serikali kiingia moja kwa moja kama mbia na muwekezaji
Wawekeze katika sekta hii
Mfano mzuri wa nchi za kutembelea no Oman ambao shirika la serikali ndio lenye mamlaka na hisa kubwa katika utafutaji.uchimbaji ba uuzaji na ukienda pale Oman petrleum dev. Company yao wana museum ya historiaa yote ya mafuta mpaka copy ya cheque ya kwanza serikali iliyopokea
Pia wameweka meli ya kwanza kupakia mzigo,invoice na bill of lading
Oman imepiga hatua kubwa kimaendeleo na wao sio wazalishaji wakubwa hata Opec hawamo
Nchi nyengine za kwenda kujifunza ni UAE Qatar Saudi. Pia kufahamu ubaya wa watu binafsi kumuliki mafuta twendeni Russia huko utaona namna gani warusi wengi wakiwa maskini na Abrahmovic wa Chelsea wakitajirika na kufuja fedha za mafuta kwa mpira na kwa timu ambazo si za urusi
Hivo serikali inatakiwa iwe m'bia wa sekta hii muhimi ili walinde utajiri huu kwa niaba ya watanzania
Ubinafsishaji kwa wazawa sio suluhisho na italeta machafuko
Kuwapa wageni kwangu ni sawa na UHAINI
yaani kama hatuwezi kuchimba ndio tuwaachie kila kitu wafanye wao.sina shaka kuna mataahira humu.kuna njia nyingi za kuwashirikusha watanzania sio lazima awe mengi lakini lazima washirikishwe kihisa, kimitaji na vinginevyo kuna watu wataja olewa na wazungu humu, kwa jinsi wanavyowachukulia hao zeru zeru.
mimi sijawahi kuona nchi yenye viongozi wabovu kama hii tanzania yetu,sijuwi nani anawaongopea hawa viongozi hii nchi itajengwa na wageni,hivi jamani hii tanzania yetu akitokea mtu kama savimbi kuna mtanzania kweli anaweza kumpiga zaidi ya hao viongozi,jk kaa ukijuwa hamna mtanzania yoyote anaopenda hii serikali yako kwa sasa watu wamechoka imefikia mpaka ardhi ya watu masikini mnachukuwa kwa nguvu mnawapa rafiki zenu kutoka nje leo hii watanzania hata vipande vya kulima hawana kisa na sababu uwekezaji wakishenzi kabisa ambao huwezi kuupata sehemu yoyote duniani,siku zenu ziko njiani zinakuja bora huyo mobutu alizikwa na watu 10 nyie hamtapata hata wa kuwazika.
Utalaamu wataupata hukohuko, kwani unashukaga kutoka mbinguni? Achamasihala wewe!! Nyie ndo wale mnaosomea tumbo, mtu yuko educated but your way of thinking has no difference na mwendesha mkokoteni.
Suala hili kina mengi na wengine wanalichukulia kibinafsi zaidi .wameweka maslahi yao binafsi na sio njia sahihi ya wananchi kunufaika ila watu wachache
Mfano wametoa wa nigeria ! Nchi ilio fail kabisa kutumia rasilimali hii kwwa manifaa ya nchi
Sera ya kubinafsisha ndio imezaw boko haram na makundi ya kivita jimbo la delta
Mara nyingi vitalu wamechukua viongozi na familia zao
Mimi wazo langu ni kwa serikali kiingia moja kwa moja kama mbia na muwekezaji
Wawekeze katika sekta hii
Mfano mzuri wa nchi za kutembelea no Oman ambao shirika la serikali ndio lenye mamlaka na hisa kubwa katika utafutaji.uchimbaji ba uuzaji na ukienda pale Oman petrleum dev. Company yao wana museum ya historiaa yote ya mafuta mpaka copy ya cheque ya kwanza serikali iliyopokea
Pia wameweka meli ya kwanza kupakia mzigo,invoice na bill of lading
Oman imepiga hatua kubwa kimaendeleo na wao sio wazalishaji wakubwa hata Opec hawamo
Nchi nyengine za kwenda kujifunza ni UAE Qatar Saudi. Pia kufahamu ubaya wa watu binafsi kumuliki mafuta twendeni Russia huko utaona namna gani warusi wengi wakiwa maskini na Abrahmovic wa Chelsea wakitajirika na kufuja fedha za mafuta kwa mpira na kwa timu ambazo si za urusi
Hivo serikali inatakiwa iwe m'bia wa sekta hii muhimi ili walinde utajiri huu kwa niaba ya watanzania
Ubinafsishaji kwa wazawa sio suluhisho na italeta machafuko
Kuwapa wageni kwangu ni sawa na UHAINI
Hata nchi zilizoendelea wamewekeza wenyewe kwenye Oil and Gas...Netherlands na Norway ni moja ya nchi hizo; not to say BP...na mimi naunga mkono serikali kuwekeza...
Ni wapi watanzania wamekosa ardhi ya kulima? au unaongelea Unguja?
Vitalu vya mkaa wa mawe kule Ngaka (Mbinga) tayari wanavuna wa-Australia wakimtumia mbunge wa Mbinga Mashariki kama mbia, vitalu vya urani kule Namtumbo - Songea wanavuna wa-Amerika, vitalu vya chuma kulea mchuchuma sijajua nani anavuna.Kumbe Tanzania tumejaa vitalu! Kuna vitalu vya viwanja (majengo), vitalu vya kuvuna wanyama hai au kuwapiga huku ukishangilia na sasa vitalu vya kuvuna gesi! Bado vitalu vya makaa ya mawe, vitalu vya urani, vitalu vya chuma, nk. na bado kuna vingine vinakuja. Kwa bahati mbaya vitalu vingi humilikishwa kwa wageni. Kwa mwendo huu wa vitalu na maliasili tuliyonayo muda si muda Tanzania yote itakuwa vitalu na hivyo itamilikishwa!
Mkuu Meningitis nakuhunga mkono, binafsi namuona Mh.Muhongo ni mtu mkweli, muwazi na Wizara hii inaiweza sana - hasiwasikilize baadhi ya Watanzania ambao ni ma-opportunists wanao hibuka tu wakiona sekta fulani wanaweza kutumia ujaja kujinufahisha bila ya kuwa na utaalamu wala uwezo wa kufanikisha jambo lolote - basi tu, wanatumia mantra ya sijui ya UZAWA wakati kila mtu anjua wao kama wao uwezo kuwekeza kwenye major projects kama Gesi na Mafuta ghafi hawana! Bahati nzuri mifano hai tunayo ya kuonyesha track record zao za ajabu: mara ngapi Serikali yetu Tukufu iliwahi kuwapa kwa nia nzuri viwanja wajenge viwanda wenyewe wanavipiga bei, viwanda vingapi wana azisha kiujanja ujanja kesho yake havipo, taifa letu lingebweteka na kusikiliza malalamishi yao tuka-ignore Wachina wenye uwezo, saa hizi nchi nzima ingekuwa inaogelea kwenye stone age technology ya Analogue - mifano ya usanii ni mingi tu. Mkuu Mh.Muhongo we chapa kazi yako iliyo tukukuka na Mungu atakuongoza, sijui nyanja yako ya kitaaluma ni hipi lakini wewe ni binadamu mwenye analytical mind sharp kweli kweli hasa hasa katika maswala haya na nishati na madini na unajua Taifa letu linahitaji nini kwenda mbele kimaendeleo. Mkuu Meningitis ukisikiliza mambo mengine ya Watanzania wenzetu unabaki unashangaa sana - hivi Watanzania wano sema wana uwezo wa kuwekeza kwenye sekta ya gesi walikuwa wapi wakati gesi ya Songo Songo ilipokuwa inahungua takribani miaka zaidi ya kumi, kwa nini hawakujikakamua wakaizima na kuweka mitambo ya kuisafirisha kuja bara ili izalishe umeme, mbolea na vifaa vya plastic, cement na nyingine kuhuzwa nchi za nje - maneno tu! Wanashindwa nini kuiga mifano mizuri ya Mzee Bhakresa - Mzee huyu anafanya mambo yake kimya kimya kuanzia makampuni yake yenye mfano wa kuigwa mpaka anapo wasaidia Watanzaia wenzake wenye shida, uwezi kumsikia ana resort kwenye publicity stunt, au kumsikia mzee Bhakresa akilalamikia Serikali yetu tukufu kwamba haimpi kupa umbele.Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!Mengi na kundi lake waache ulaghai.