Muhongo ataleta machafuko humu nchini na kauli zake chafu za uropokaji...........Anadai hawezi kuongea na watanzania kwenye mambo ya uwekezaji kwenye gesi kwa sababu watakuwa wanapoteza muda wake.....!
krap kabisa hiiTatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
BAK naipenda Tanzania ila nawachukia viongoz wake to the extrem
Ndio nini toa maelezo vizuri tukuelewe
I sometimes I dont really understand you JF members, when the tangible matters and things that changes community life in general, you all just run away from it. This is veryx5000 important, I want to see some really comments here by dawn. It can't be, nani anataka dharau, eti tanzanians can on invest on fruit processing, I DONT AGREES 1000000%, we can do a lot with our ability, motivation,commitment and for our Nation,
Au ndo vile tena, BUS LA KICHINA, DEREVA MCHINA, KONDA A CHINESE AND THE MECHANIC IS CHINESE.
MLACHAKE, THE BOSS, AND all Economical related personell Re needed here.
Waiting!!!!
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
Muhongo ataleta machafuko humu nchini na kauli zake chafu za uropokaji...........Anadai hawezi kuongea na watanzania kwenye mambo ya uwekezaji kwenye gesi kwa sababu watakuwa wanapoteza muda wake.....![/QUO
Huwa namheshimu na kumpenda sana Mengi kwa misaada yake kwa watu masikini. Ingawa linapokuja suala la uwekezaji ni kama huwa anataka attention fulani au kuonewa huruma. Maana ana record ya kukwaruzana na Mawaziri wengi. Sijui tatizo lake huwa ni nini?
Hauko pekee yako Mkuu, na huyu alipoteuliwa kwenye hiyo nafasi tukaambiwa kwamba ni kichwa sana kumbe hana tofauti yeyote ile na his predecessor Ngeleja. Madudu yale yale yanaendelea na kauli za kejeli dhidi ya Watanzania.