Muongo akihadithia

Muongo akihadithia

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
jamaa mmoja muongo alikua kijiweni anawahadithia watu jinsi alivyokua akimkimbiza swala porini akaishia kwamba " nikamkamata nikamlaza chini" ghafla kabla hajaendelea simu yake ikaita akaenda pembeni kupokea, washikaji wakawa wanamsubiria kwa hamu ili arudi aendelee, alivyorudi akawauliza hivi niliishia wapi? wakamwambia " umemkamata ukamlaza chini" jamaa akasema enheee, basi nikaanza kumvua nguo taratiibu huku nikimkumbatia na kumla madenda, washkaji wakashtuka na kuguna mmmh!! aaaaah! si alikua swala? jamaa akshtuka akasema aaaahaaa, nimekumbuka nikaanza kumchinja! washkaji hoiiiiiiii:
 
teh teh tehe. Kweli uongo noma na ukiwa muongo ucwe msahaulifu.
 
hii kiboko, lakini hoa ndio huwa wanachangamsha kikao, na uongo usio na madhara una raha zake!!
 
hahahahha.....nimeikubali hii. Ndio maana unaambiwa ukiwa muongo usipoteze kumbukumbu. yaan usiwe msahaulifu
 
Dah asante sana mkuu.. kwa kweli umenivunja mbavu dah......... em lete nyingine isee
 
Jamaa mmoja na mpenzi wake walikuwa chumbani wakivunja amri ya sita usiku taa ikiwa inawaka,kumbe kuna mshkaji alikuwa anakula chabo kwenye tundu la funguo...baada ya jamaa na mpenzi wake kustukia mchezo huo.....akachukua sindano na kuchomeka kwenye tundu la funguo....mara ghafla ikasikika sauti ya yule mla chabo kwa hasira akilalamika.."Dah! kudadadeki, jamaa kazima taa" asijue kumbe kashakuwa kipofu.
 
Jamaa mmoja na mpenzi wake walikuwa chumbani wakivunja amri ya sita usiku taa ikiwa inawaka,kumbe kuna mshkaji alikuwa anakula chabo kwenye tundu la funguo...baada ya jamaa na mpenzi wake kustukia mchezo huo.....akachukua sindano na kuchomeka kwenye tundu la funguo....mara ghafla ikasikika sauti ya yule mla chabo kwa hasira akilalamika..”Dah! kudadadeki, jamaa kazima taa” asijue kumbe kashakuwa kipofu.

sasa huyu alikuwa anasikia utamu hadi machoni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom