Muonekano wa shule ya msingi Grace Mesaki

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
781
Reaction score
692
Muonekano wa Shule ya Msingi Grace Mesaki iliyopo katika Kijiji cha Singa, Kata ya Kinampundu, Wilayani Mkalama.

Mradi huu wa ujenzi wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 300 umeboresha kwa kiasi kikubwa mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku ukiongeza fursa kwa wanafunzi kupata elimu bora katika mazingira salama na rafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…