Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,055
Hii ni kazi ya miezi minane kwa bajeti ya bilioni 10.

Kuna baadhi ya watu ambao mindset zao ni rushwa/ufisadi hawakubali au kuamini kama bilioni 10 inaweza kutumika na kuleta matunda tunayoshuhudia kwa sasa.

Rais Magufuli is the man!

Changamoto itakayojitokeza kwa sasa ni utunzani wa mabweni hasa kwa ndani.

Baada ya changamoto moja kumalizika, kwa sasa changamoto iliyoko mbele ni utunzani.

Penye nia pana njia na kupanga ni kuchagua.

Polepole tutafika tu!




Rais Magufuli na Mama Magufuli wakiangalia samani ndani ya mabweni.



Jaji Joseph Warioba na Rais Magufuli wakibadilisha mawazo baada ya kukagua mabweni mapya USDM.

 
Warioba mpige sound akajenge zingine SUA.
 

Acheni uongo!

Kutoka Posta mpka Pugu kajiungeni ni zaid ya saa mbili halafu Nyie mnasema delivery ni ndani ya dakika 30 kwa ndani ya Dar!
 
Acheni uongo!

Kutoka Posta mpka Pugu kajiungeni ni zaid ya saa mbili halafu Nyie mnasema delivery ni ndani ya dakika 30 kwa ndani ya Dar!
Order italetwa na store iliyo Karibu na wewe. Maelezo yako ndiyo yatakayorahisisha kuwahi kwa dereva. Ila target yetu ni dkk 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…