Popoma wewe
Umbali gani uliopo kati ya kamera iliyopiga picha hiyo na hicho kitu kilichopigwa picha?
Wabongo ndio tunapofeli hapa. Mada imeletwa ni ya kitaalamu mtu hata hujaisoma unaanza kejeli wakati imeelezwa vizuri kabisa kwa fact za kisayansi.Sijasoma thread ila kulingana na hii comment
Inaonekana jamaa kaupiga mwezi picha toka vingunguti machinjioni alafu umetoka kama zile pic za Nasa
Conclusion
Asituone watoto
hapo bado mbona, subiri wafia dini waje wavamieWabongo ndio tunapofeli hapa. Mada imeletwa ni ya kitaalamu mtu hata hujadoma unaanza kejeli wakati imeelezwa vizuri kabisa Kwa fact za kisayansi.
Tuna safari ndefu sanahapo bado mbona, subiri wafia dini waje wavamie
Mkuu, kejeli ipi hapo kwenye swali langu?Wabongo ndio tunapofeli hapa. Mada imeletwa ni ya kitaalamu mtu hata hujaisoma unaanza kejeli wakati imeelezwa vizuri kabisa kwa fact za kisayansi.
@stars hapana kaka hakukuwa na jiwe kubwa ambalo lingeweza kuwa na impact ya kutoa dunia katika njia yakeTuliwahi kusikia kuwa kuna jiwe kubwa lilikuwa likielekea usawa wa dunia na hivyo lingeigonga dunia kwa kishindo kikuu! Hii ilileta hofu kubwa miongoni mwa mataifa makubwa (mataifa yaliyoendelea), kwani ilionekana kuwa impact ya jiwe hilo kubwa ingesababisha myumbisho au hata kuitoa kabisa katika njia (orbit) yake kulizunguja jua! Hapo wakaja na utaalamu wao kwa kupeleka chombo kilicholipiga jiwe hilo na kulielekeza usawa mwingine kutoka ule wa dunia. Swali langu ni kuwa: hayo mawe yanayopiga mwezi hayauondoi (deflect) kutoka kwenye njia (orbit) yake? Hilo shimo lililotokea hapo kwenye picha linaonyesha kuwa impact ilikuwa kubwa sana, na inaonyesha kuwa mawe (au vimondo) mengi yameupiga mwezi katika maeneo yake tofauti tofauti, je njia ya mwezi haijabadilika kwa miaka yote ukiwa unaizunguka dunia?