Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,548
Ni bora tupewe chupa ya chai kama kombe na sio kombe hilo...
Mdhamini mpya.Simba wamechukua mara 4 mfululizo,mara 3 wanapewa mazima ,mara ya nne inakuwa lingine mpya,nadhani Yanga walitakiwa wapewe hiyo ya nne ya Simba sijui why wametengenezewa mpya.