Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110)

Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110)

Hujui lolote! Hapo Rusahunga mnadani pana miaka kibao pakiwa mashimo (potholes) tuu. Kwahiyo hakuna ukarabati hapo barabara wanajenga upya. Iliyo kuwepo miaka hiyo ilijegwa na Mtaliano (KOJIFA) miaka ya 80 na mwanzoni mwa 90.
thread haizungumzii minada mkuu.
ni Ushirombo Lusaunga.
Ushirombo Lunzewe ni Lami
Lunzewe nyakanazi ni Lami
Nyakanazi Lusaunga junction pale ni lami ila hapo kuna sehemu korofi kidogo.
Labda kama siku napita nilikuwa nimepiga mbonji.
 
Ulipiga mbonji kweli, Tukiacha barabara ya rusahunda-ziro ziro (benaco), kuna kipande kinajengwa chenye kilomita 16 kutoka rusahunga -nyakanazi. Kipande hicho kimekuwa hakipitiki mpaka baadhi ya magari kuamua kupita runzewe-bwanga-runazi-kalebezo-bmlo au kasindaga. mzunguko huo ni nyongeza ya 40km. sasa jiulize kama lami ipo mtu anawezaje kukwepa kipande cha 16km apambane na 40km? Mind yo hiyo barabara napita sana na sina mwezi nimepita nikielekea mbeya.
 
Safi sana. Ila hapo Nyakanazi Lusahunga nadhani ndio shida. Huko kwingine Nyakanazi hadi masumbe nilikuwa napita huku inajengwa enzi hizo. ndio maana nimeshtuka kusikia leo tena eti KM 110 zinajengwa. Inabidi habari ikae sawa ipunguziwe chumvi iseme ni KM 16+.

Mkuu hiyo boda ya kupita runazi mbona kama ni ndefu sana nadhani ni zaidi ya 40KM, sitaki kuisikia kabisa
 
Haya hawa yaoni wanaona ya chato tu. JPM songesha Tanzania mbele, tuko pamoja na wewe kwa hali na mali, kimwili na hata kiroho, twakuombea kwa Mungu na kamwe ibilisi na maajenti wake hawatarudisha Taifa hili katika lindi la ufisadi.
 
Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka - Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera - Geita na Shinyanga.
View attachment 1150490
Kuweka mizania sawa nitaweka uzi sambamba na huu kuangazia hali mbaya ya barabara hii kama iliyotelekezwa baina ya rusahunga na Rusumo umbali wa takribani 80km.
 
Safi sana. Ila hapo Nyakanazi Lusahunga nadhani ndio shida. Huko kwingine Nyakanazi hadi masumbe nilikuwa napita huku inajengwa enzi hizo. ndio maana nimeshtuka kusikia leo tena eti KM 110 zinajengwa. Inabidi habari ikae sawa ipunguziwe chumvi iseme ni KM 16+.

Mkuu hiyo boda ya kupita runazi mbona kama ni ndefu sana nadhani ni zaidi ya 40KM, sitaki kuisikia kabisa
Mradi ni Km 110. Sehemu yote unayoona ina mawe ya strabaga ni sehemu ya mradi. Na kuna mazungumzo ya kuwaongezea kipande cha rusahunga-benaco (zero zero) junction ya Ngara mjini na rusumo chenye km 46.

kuhusu umbali wa runazi ni hivi, Ukipita Runzewe to bmlo kupita nyakanazi-rusahunga- bimlo ni km 104; ukipita runzewe-bwanga-buziku-rwekubo-kabindi-katahoka-katoke-runazi-kalebezo bimlo ni Km 146.
 
Back
Top Bottom