Inapita chato?
HaswaaInapita chato?
Mnashobokea kwa vile hamjapita hiyo barabara Ushirombo Rusumo - Kabanga boarders. Ilijengwa miaka ya 80 -90'. Kipande cha Nyakanazi Rusumo kina hali mbaya hakuna mfano. Gari ndogo kupita ni mateso makubwa hakuna mfanano. Matengenezo ya kipande cha Kahama - Ushirombo-Nyakanazi-Lusahunga yanaendelea japo kwa kasi ya konokono tangu 2014' kama sijakosea. Vipande vilivyokamilika ni kuanzia Kahama - Lunzewe (Ushirombo) ila bado kuna sehemu korofi hazikamilika kati ya Lunzewe - Nyakanazi. Ujenzi unao endelea ni wa Nyakananzi - Lusahunga. Sijui ujenzi wa kipande cha Lusahunga - Rusumo utaanza lini au utakamilika lini. Matengenezo ya barabara hii kama ilivyo kawaida yalianza kwa kurekebisha sehemu mbovu kwa kutumia rami, hali alivyozidi ikaachwa kutengenezwa kwa rami wakawa wanashindilia udongo kwenye sehemu zilizo chimbiza kwenye rami. Baadaye hata hatua ya kuweka udongo ikaachwa na mashimo kuachwa kuendelea kutanuka. Ajali za uso kwa uso ni hali ya kawaida kutokea kama ilivyokuwa barabara ya Iringa - Njombe-Mbeya. Kuna watu wanapoteza maisha, wanaendelea kupata hasara kwa magari kuharibika kwa sababu ya barabara hii kuwa mbovu... Juhudi za kuifanyia matengenezo upya ziongezwe!
Lakini hii ilianza enzi ya Kikwete!Kwa barabara hakuna ubishi hata marehemu mzee kingunge alimkubali
Mkumbuke kufagia pia mtoe mchangaMuonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka - Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera - Geita na Shinyanga.
View attachment 1150490
Wewe mama huo si ujenzi kwa kiwango cha lami bali ni ukarabati kwa kuwa lami ilikuwepoMuonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka - Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera - Geita na Shinyanga.
View attachment 1150490
Hiyo barabara ni Lami grade gani?, isije ikawa kama ile ya Biharamulo inayoharibikaharibika hovyo baada ya muda mfupi
Kujenga ni kitu kimoja, kitu kuwa na Quality ni kitu kingine
Naona hapo ni mnadani Rusahunga.Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka - Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera - Geita na Shinyanga.
View attachment 1150490
Hujui lolote! Hapo Rusahunga mnadani pana miaka kibao pakiwa mashimo (potholes) tuu. Kwahiyo hakuna ukarabati hapo barabara wanajenga upya. Iliyo kuwepo miaka hiyo ilijegwa na Mtaliano (KOJIFA) miaka ya 80 na mwanzoni mwa 90.hiyo mbona ipo tangu enzi za jk, au wanaiedit
Lusahunga Rusumo itaanza na mkandarasi huyo huyo wa Nyakanazi Lusahunga.Mnashobokea kwa vile hamjapita hiyo barabara Ushirombo Rusumo - Kabanga boarders. Ilijengwa miaka ya 80 -90'. Kipande cha Nyakanazi Rusumo kina hali mbaya hakuna mfano. Gari ndogo kupita ni mateso makubwa hakuna mfanano. Matengenezo ya kipande cha Kahama - Ushirombo-Nyakanazi-Lusahunga yanaendelea japo kwa kasi ya konokono tangu 2014' kama sijakosea. Vipande vilivyokamilika ni kuanzia Kahama - Lunzewe (Ushirombo) ila bado kuna sehemu korofi hazikamilika kati ya Lunzewe - Nyakanazi. Ujenzi unao endelea ni wa Nyakananzi - Lusahunga. Sijui ujenzi wa kipande cha Lusahunga - Rusumo utaanza lini au utakamilika lini. Matengenezo ya barabara hii kama ilivyo kawaida yalianza kwa kurekebisha sehemu mbovu kwa kutumia rami, hali alivyozidi ikaachwa kutengenezwa kwa rami wakawa wanashindilia udongo kwenye sehemu zilizo chimbiza kwenye rami. Baadaye hata hatua ya kuweka udongo ikaachwa na mashimo kuachwa kuendelea kutanuka. Ajali za uso kwa uso ni hali ya kawaida kutokea kama ilivyokuwa barabara ya Iringa - Njombe-Mbeya. Kuna watu wanapoteza maisha, wanaendelea kupata hasara kwa magari kuharibika kwa sababu ya barabara hii kuwa mbovu... Juhudi za kuifanyia matengenezo upya ziongezwe!