komba05
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 367
- 291
Hiyo ni kazi ya wananchi wenyewe wa Makongo juu, katika mpango wao shirikishi wa kupima maeneo yao! Sasa hiyo ni master plan ambayo wananchi kwa kutumia kamati yao wenyewe walioichagua imetengeneza na kuiwasilisha juzi katika mkutano mkuu wa wananchi wa Makongo.
Sasa naiona serikali Makongo! Big up Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Makongo Kamanda Obas, Mbunge (Mdee), Waziri wa ardhi ( Lukuvi) Big up sana.
Tuacha kazi itawale siasa 2020!
Sasa naiona serikali Makongo! Big up Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Makongo Kamanda Obas, Mbunge (Mdee), Waziri wa ardhi ( Lukuvi) Big up sana.
Tuacha kazi itawale siasa 2020!