Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,228
- 1,831
Hivi karibuni senior member wa XDA Developers amefanikiwa kudevelop ROM za Simu za Nokia X zenye Android ambazo zilizinduliwa mapema mwaka huu. Hivyo wapenzi wa Nokia msivunjike moyo kama hamkuifurahia WP Ui kwenye simu hizo kwa kuwa stable version AOSP ya Nokia X imeshazinduliwa. Kwa maelezo zaudi jinsi ya kuroot na kuinstall ROM hii tembelea thread hii >>>
http://forum.xda-developers.com/showthread.php?t=2710107
http://forum.xda-developers.com/showthread.php?t=2710107