Muonekano mpya wa Kiroba cha Chupa.

Nilifikiri unaongelea Konyagi!...kumbe viroba!
 
Kuna ladha ngapi humo?? Siku hizi wamegundua style mpya ya kuchakata Bhange..
 
Unakumbuka ule mstari unaosema; watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa? sasa tumeona kuvuta pekee haitoshi mpaka tuunywe! Kesho ukikausha maini na mapafu unasema eti zako zimefika
 
Hiyo wapelekee wasanii wetu wanaokwenda South Africa lazima watainunua.
 
ha ha ha ha ha da kaazi kweli kweli.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…