Muonekano mpya wa Bukoba Catherdral

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
[h=3]MUONEKANO MPYA WA NDANI YA KANISA KUU JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA[/h]
Huu ni muonekano wa ndani ya Kanisa Kuu Jimbo katoliki la Bukoba na kwa tarifa yako mdau hii leo ni hii leo ni kwamba kati ya makanisa ambayo ni vivutio vikubwa nchini na Afrika kiujumla basi hili linaongoza.
Ikiwa ni siku tatu kabla ya sherehe ya kulitabaruku kanisa hili na ni siku mbili kabla ya kufanyika mazishi ya Mwadhama Laurean Kardinali Rugambwa ,kwa sasa kinachoendelea ni usafi wa hapa na pale unafanywa na waumini kwa kujitoa kama walivyokutwa na Camera yetu​
Mbele ya Kanisa kuu Jimbo Katoliki la Bukoba.
Moja kati ya vivutio vikubwa katika kanisa hili ni madirisha yake
Muonekano kamili wa Kanisa kuu Jimbo Katoliki la Bukoba
 
Back
Top Bottom