Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Kama wanaume wa sinza na kinondoni. Ukiwaona utajua mkurugenzi fulani kumbe dalali wa magari na utapeli ndio kazi zao.Matapeli na watu wengi waovu wanapenda kuvaa vizur siku hizi usiamin mtu kwa kuangalia mavazi tu
Kumbuka unapotoka nje au unatoka na rafiki zako DRESS TO KILL aaaah vaa pendeza utajiamini na kujikubaliiiii
