zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Very trueTakwimu zinaonyesha ukitaka urafiki wenu ufe baina ya me na ke ingiza mapenzi, yani baada ya muda utakufa na kuzikwa mapema na ukisurvive things will never be the same again
Takwimu zinaonyesha ukitaka urafiki wenu ufe baina ya me na ke ingiza mapenzi, yani baada ya muda utakufa na kuzikwa mapema na ukisurvive things will never be the same again
ikiwa ni 3/10 tuna round off to the nearest ten ndiyo inakuwa fact.Inategemea NTU na NTU Mkuu, wengine hufikia kufunga pingu za maisha.
Its possible to turn friendship into relationship but its not possible to turn relationship into friendship againInategemea NTU na NTU Mkuu, wengine hufikia kufunga pingu za maisha.
Nimesahau chanzo kidogo mkuu Ila ni za kuaminika hata kwa observation niliofanya mimiHizo takwimu ziko wapi?
Duh!na mko peace kabsa hakuna ugomvi wala malumbanoMa
Ma x zangu wote ni marafiki zangu wa damu, yaani ni family friend kabisa
Its possible to turn friendship into relationship but its not possible to turn relationship into friendship again
ikiwa ni 3/10 tuna round off to the nearest ten ndiyo inakuwa fact.
Haya masuala yalinifanya nikosane na rafiki wa maana hata sijui yuko wapi.hahahahaha I know where you want to go with this idea of rounding off 😜. Haya umeshinda Mkuu.