Sasa na jeshi nalo likija likasema halitakuwa tayari kuona nchi inauzwa na wanasiasa kama hawa wanaokuja na matamko tena wanayatoa wakiwa nchi za magharibi patakalika kweli? tusubiri tuone.
Kazi ya Jeshi ni kuwalinda watanzania na kwa hiyo wananchi wakiamua nani apewe nchi kupitia sanduku la kura wanajeshi hawana la kufanya. Wawe ni wanasiasa wanaotoa matamko wakiwa ughaibuni au hao wa ndani.
Naona naye anatafuta uhalali wa kuwa katibu mkuu wa bavicha mana akikaa mda mrefu bila kutoa tamko lolote anasahaulika.poa mdogo wa mwenyekiti wetu ila jina ndio umeamua kutumia lingine ili kuwa fool watanzania
information is power,hii itasaidia kuthibitisha kuwa ndani ya chama uongozi unatolewa kwa misingi ya udugu na ukabila na ukanda japo hivi viwili vya mwisho vipo wazi
Naona naye anatafuta uhalali wa kuwa katibu mkuu wa bavicha mana akikaa mda mrefu bila kutoa tamko lolote anasahaulika.poa mdogo wa mwenyekiti wetu ila jina ndio umeamua kutumia lingine ili kuwa fool watanzania
Kwa mwenendo wa matukio ya mkutano mkuu wa CCM mwezi uliopita, ni haki kauli hii ikatendewa haki na CDM. Kupotoka kwa CCM kuwatumia watumishi wa umma kwenye mikutano yao ya hadhara, ni halali kwa kauli hii kutendewa haki kwa kufanya Homework vizuri.