Mungu Yupo!!!

nilidhani umeweka picha ya huyo mungu..!!
mda mwengine muwe mnamaanisha sio mnatizinguazingua aaaaaa... inakera
 
MUNGU yupo hakika. Maelezo ya hio picha? Wamekutana lini
 
Sijafahamu nini kusudio la huu uzi?


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mzee Msuya huyu?
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili ambapo alikuwa akipatiwa matibabu mpaka aliporuhusiwa kurejea
nyumbani kwake mara baada ya kupata nafuu.
 
JPM Kavaa nini ndani ya shati? au ndio kizuia nch@#* ka*&$#li
 
Rais anaonyesha mfano mzuri wa kuwatembelea viongozi wastaafu na kuwajulia hali wanapougua. Wapinga kila jambo watasema lakini kama binadamu anatimiza pia wajibu wake na kwa unyenyekevu ' nilikuwa mgonjwa ukaja kunitazama'.
 
Baada ya miaka kadhaa Magufuli nae ataitwa mstaafu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…