Mungu wangu mdomo unaumba yamenikuta

Mungu wangu mdomo unaumba yamenikuta

Hutumii kinga, huyo mtu unaekutana nae hatumii kalenda wala njia yoyote ya uzazi wa mpango, unavyofikisha weupe unawamwagia ndani halafu bado unashangaa mimba! unasema maneno ndo yaliyoumba!! Mkuu kichwa usikitumie kutenganisha masikio tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hope mko poa

Wadau nilikua na mwanamke mmoja hivi nadhani hapa nilishaleta Uzi kuwa simpendi hata kidogo na nimezaa nae mtoto wa kiume ..

Sasa kipindi cha nyuma kidogo nilimpost mwanamke wangu mwingine status whatsapp akawa ameona ile picha akanitumia message akanambia jitahidi.. Alafu nikamjibu ki utani tuu na yeye ana mimba kipindi hicho hakuwa na mimbaa akaniambia sawa nashukuru kwa yote..

Daah wakuu huyu mwanamke niliyena amenasa bwanaa daaa...
Na mm nilkua sina mpango wa kuwa na mtoto mwingine sasa hivii.. Na amefrahi kweli kuwa na mimba yangu..

Niko confused daah na am still young... I have 25+.......

Tuweni makini na maneno tuyowatamkia wenzi wetu..
Wewe lea ndio ujue papuchi huleta duniani familia
 
Ukijifunza kupangilia maneno itapendeza. Unaonekana bado una utoto mwingi kichwani mwako.Badilika.
 
Hutumii kinga, huyo mtu unaekutana nae hatumii kalenda wala njia yoyote ya uzazi wa mpango, unavyofikisha weupe unawamwagia ndani halafu bado unashangaa mimba! unasema maneno ndo yaliyoumba!! Mkuu kichwa usikitumie kutenganisha masikio tuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kichwa asikitumie kufanya nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom