Mungu wangu! Hakika na mbinu hii, inawaongezea wapinzani!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Mpende msipende CCM nawanyooshea kidole, kwamba mbinu hii ya kumonitor media kwa dhamira ya kuminya vuguvugu la UKAWA kusambaa ltawagharimu.

Tofauti kabisa na mfikiriavyo, leo Mwanza UKAWA wamefanya mkutano wa kihistoria.

TBC chombo cha Taifa, katika taarifa yake ya habari ya saa 5 usiku, (Taarifa inayoitwa ya kutwa), Haikutaja chochote kuhusu mkutano huu.

Mkutano uliyosababisha shughuli nyingi kusimama leo jijini!
Mkutano uliokusanya maelfu ya watanzania!
Mkutano ambao umemhusisha mtu ambae kuna kila viashiria, huenda akawa mkuu wa nchi.

Kisha chombo cha Taifa kiwe silency kama vile hakukuapo na tukio!

Pamoja na mgao wa umeme, haijapata tokea umeme umekatwa jana usiku wa saa 8.
Ukarejeshwa leo saa 12 jioni, ambako ulidumu kwa dkk 45 then ukakatwa hadi hivi naandika na mshumaa saa 6 kasoro usiku.

Ni lipi litakalotuzuia tusiamini kuzimwa huku kwa umeme tofauti na mgao wa kila siku, ni kudhibiti watanzania ambao hawakuweza kufika eneo la tukio kwa sababu zozote zile wafungwe macho?
 
Mpende msipende Ccm nawanyooshea kidole , kwamba mbinu hii ya kumonitor media kwa dhamira ya kuminya vuguvugu la Ukawa kusambaa ltawagharimu .

Tofauti kabisa na mfikiriavyo .
Leo Mwanza , Ukawa wamefanya mkutano wa kihistoria .

Tbc chombo cha Taifa , katika taarifa yake ya habari ya saa 5 usiku , (Taarifa inayoitwa ya kutwa) .
Haikutaja chochote kuuhusu mkutano huu .

Mkutano uliyosababisha shughuli nyingi kusimama leo jijini !
Mkutano uliokusanya maelfu ya watanzania !
Mkutano ambao umemhusisha mtu ambae kuna kila viashiria , huenda akawa mkuu wa nchi .

Kisha chombo cha Taifa kiwe silency kama vile hakukuapo na tukio !

Pamoja na mgao wa umeme , haijapata tokea umeme umekatwa jana usiku wa saa 8 .
Ukarejeshwa leo saa 12 jioni , ambako ulidumu kwa dkk 45 then ukakatwa hadi hivi naandika na mshumaa saa 6 kasoro usiku .

Ni lipi litakalotuzuia tusiamini kuzimwa huku kwa umeme tofauti na mgao wa kila siku , ni kudhibiti watanzania ambao hawakuweza kufika eneo la tukio kwa sababu zozote zile wafungwe macho?

Ukiona baunsa anaokota mawe ujue ugomvi umemshinda
 
ulikuwa unataka tbc washadadie hii biashara yenu ya kuiuza cdm kwa mafisadi? ili pia mfanikishe na kuibinafsisha serikali? mnajidanganya na mmejidharaulisha sana kwa wanaojitambua.
 
Usipoteze muda wako kangalia TBCCM angalia Television ya Taifa ITV super brand no 1 East Africa.
 
Digitech inahusika! ITV SUPER BRAND! Mengi Ntuyabaluwe with identical twins Mungu awabariki!
 
Mkurugenzi na watendaji wakuu wa TBC inafaa washitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka ya umma, pindi Lowasa akiwa rais,ili iwe fundisho kwa wengine. Na kama Lowasa hakuchukuwa hatua hiyo pindi tu aingiapo madarakani, itakuwa ndio mwanzo wa kufeli kwa serikali yake
 
Back
Top Bottom