mungu ni mungu tofauti ni majina yanayotumika labda kwa makabila au vingine. mf ngai,ruwa mndumii yote hayo ni majina ya mungu
na ndio maana hii hoja nimeileta huku maana inaweza kuonekana ni dharau kwa wengine pale unapoipeleka majukwaa 'serious'.mungu ni mungu tofauti ni majina yanayotumika labda kwa makabila au vingine. mf ngai,ruwa mndumii yote hayo ni majina ya mungu
asante mkuu kwa kumuelezea hilo suala la msingi na hiyo ni ushahidi kuwa hata Mungu wa kweli wengi wetu hatumheshimu na tunamdharau kwa kumuandika kwa herufi ndogomungu si Mungu mkuu beleave mi ukisikia Mungu ujue ni wa Yesu kristu miungu wa helufi ndogo siwafahamu!
mungu si Mungu mkuu beleave mi ukisikia Mungu ujue ni wa Yesu kristu miungu wa helufi ndogo siwafahamu!