Mungu tusaidie tusifike huku

Mungu tusaidie tusifike huku

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,381
Reaction score
829,639
1408526168850.jpg
 
Mkuu ni kweli yanahitajika maombi ya ziada maana wanasiasa wapumbavu hawaoni shida kutufikisha hapo kwa kutafuta au kun'gan'gania madaraka.........
 
Mungu ni mwema kwa alivyo na upendo hapendi tufike huko ila majuha na masokombwiga ndio wanaotaka kutufikisha huko,Mungu awape udhaifu wa akili washindwe kabisa inauma sana kuangalia au kuona hali kama hiyo
 
Kuheshimu amani ni bure...
kutunza amani ni bure....
kuishi na amani ni bure...
kuhubiri amani ni bure....
kutangaza amani ni bure....
hayo yote hayana gharama kabisa, Lakini kupoteza amani tu, hairudi tena !!!

Tulinde Amani yetu na Mungu atatulindia.
 
Angekuwa mchonga meno wasingethubutu japo kumsogelea
Mmmh!! wewe kwani alikuwa ashkiiLess? mwenzio alikuwa na waDosi na hujui tu ! alikuwa na Privacy kali... hakuna tucamera au mashushushuu kuchungulia hata bustani ya ikulu huwezi tupa macho!! Enzi za KGB/full kupelelezana ! Leo aaah tunacheeeeka na JK, hadi magazeti udaku yanapeta !
 
Back
Top Bottom