Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,095
Sijazungumzia yanga hapa mbona una wasiwasi ndugu,kweli yanga Baba yaoUnadhani simba ni utopolo?
Hata wakifungwa 'Halitahaibika' mkuu nikutoe wasiwasi.
Hapana mjinga mimiUnadhani simba ni utopolo?
Kama yeyeHata kukaa kimya ni busara pia
Mhh kuandika mtihani sasa hata "ikihaibika" kesho ww si "ushahaibika" leoHabari..
Toka uwanja ukalabatiwe kesho ndo itakuwa mechi ya kwanza kupigwa.
Kuna mambo kadhaa nayaona yanatokea kesho.
1.simba kufungwa goli zaidi
3.
2..umeme kukatika ghafla
Wanasema kuna standby generator,ila hofu yangu ipo kwa wanaomkwamisha mama samiha ,nahisi washahonga pesa nyingi ili siku ya kesho taifa lihaibike,mungu saidia Tanzania.
3..mashabiki watakaoingia na matokeo litawakuta jambo,mpira ni dakika 90 basi vyombo vya usalama kesho ziwe makini,na huduma za kwanza ziwe stand by.
4..kocha robertinho kupewa kwa heri,watasema kachezesha wachezaji.wa ovyo,na itatokea mashabiki kutaka kocha atimuliwe.
5..baada ya mechi Ahmed ALLY atawaomba msamaha mashabiki wote kwa kauli zake za kishamba.
Mungu saidia tanzania
Sijazungumzia yanga hapa mbona una wasiwasi ndugu,kweli yanga Baba yao
Ujumbe umekufikia lakini mkuuKama yeye
Basi kaa kwa kutulia uone shoo kama ya ihefuHapana mjinga mimi
Kwani yanga na utopolo ni SAWA?sina habariiiiSijazungumzia yanga hapa mbona una wasiwasi ndugu,kweli yanga Baba yao
Da Vinci alikuwa shoga je unalijua hilo??Nebuchadnezzar hakua kilaza kama ww
Kichapo kipo pale paleHabari..