Natamani nisingezaliwa
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 158
- 397
Habarini ni kipindi kirefu Kim kimepita nimeamua kuwasalimu tu ndugu zangu. Kwa sasa naendelea vizurii
Nimefurahi kukusikia tena.Habarini ni kipindi kirefu Kim kimepita nimeamua kuwasalimu tu ndugu zangu. Kwa sasa naendelea vizurii
Asante mkuuKaribu mkuu.
Ndio mkuuNimefurahi kukusikia tena.
Vip, i 'umesharudi kwenye reli' kikamilifu?
Barikiwa.
YeahMkuu samahani vipi kwasasa unafurahia kuzaliwa kwako?
MaombiUlichukua hatua gani mpaka kupona?
AsanteSijui kilichokupata ila nakupongeza kwa kuwa mvumilivu kwa uliyokuwa unapitia.