Mungu ndiye kiumbe maarufu ulimwenguni

Mungu ndiye kiumbe maarufu ulimwenguni

mungu ni mtu??

Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu uku. 146

Sura Ya 27

Mungu Wako Ni Nani?

MUNGU wako ni nani? Kwa nini swali hilo ni muhimu?— Ni muhimu kwa sababu watu wanaabudu miungu mingi. (1 Wakorintho 8:5) Mtume Paulo alipopewa nguvu na Yehova ili amponye mtu ambaye hakuwa amewahi kutembea, watu walipaaza sauti hivi: “Miungu imekuwa kama binadamu nayo imeshuka kwetu!” Watu walitaka kuwaabudu Paulo na rafiki yake Barnaba. Wakamwita Paulo Herme na Barnaba wakamwita Zeu, ambayo yalikuwa majina ya miungu isiyo ya kweli.

Lakini Paulo na Barnaba hawakukubali kuabudiwa. Wakaruka ndani ya umati na kusema: ‘Acheni mambo haya ya bure mmjie Mungu aliye hai.’ (Matendo 14:8-15) “Mungu aliye hai,” ambaye aliumba vitu vyote ni nani?— Bila shaka, ni Yehova, ‘Aliye juu Zaidi, juu ya dunia yote.’ Yesu alimwita Yehova “Mungu wa pekee wa kweli.” Basi, ni nani pekee anayestahili kuabudiwa?— Ni Yehova peke yake!—Zaburi 83:18; Yohana 17:3; Ufunuo 4:11.

Watu wengi wanaabudu miungu mingine badala ya “Mungu wa pekee wa kweli.” Mara nyingi wanaabudu vitu ambavyo wametengeneza kutoka kwa miti, mawe, au chuma. (Kutoka 32:4-7; Mambo ya Walawi 26:1; Isaya 44:14-17) Hata wanaume na wanawake mashuhuri hutukuzwa au kuabudiwa. Je, ni sawa kuwatukuza?—

Baada ya Sauli kuwa mtume Paulo, aliandika hivi: “Mungu wa mfumo huu wa mambo amezipofusha akili za wasioamini.” (2 Wakorintho 4:4) Huyu mungu ni nani?— Ni Shetani Ibilisi! Shetani amefanya watu waabudu watu wengine na vitu vingi.

Shetani alipojaribu kumfanya Yesu amsujudu na kumwabudu, Yesu alimwambia nini Shetani?— “Yehova Mungu wako ndiye unayepaswa kumwabudu, na yeye peke yake ndiye unayepaswa kumtolea utumishi mtakatifu.” (Mathayo 4:10) Kwa hiyo Yesu alionyesha wazi kwamba ni Yehova peke yake anayepaswa kuabudiwa. Hebu tusome kuhusu vijana fulani waliojua hivyo. Waliitwa Shadraki, Meshaki, na Abednego.

Vijana hao Waebrania walikuwa wa taifa la Mungu la Israeli ambao walipelekwa utekwani kule Babiloni. Wakiwa huko mfalme anayeitwa Nebukadneza alitengeneza sanamu kubwa ya dhahabu. Siku moja alitoa amri kwamba muziki uliposikika, kila mtu alipaswa kuiinamia sanamu hiyo. Na akaonya kwamba ‘kila mtu asiyeanguka chini na kuabudu angetupwa ndani ya tanuru inayowaka moto.’ Wewe ungefanya nini?—

Kwa kawaida, Shadraki, Meshaki, na Abednego walifanya kila kitu ambacho mfalme aliamuru. Lakini walikataa kuiinamia sanamu. Unajua ni kwa nini?— Kwa sababu sheria ya Mungu ilisema: ‘Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijifanyie sanamu ya kuchongwa wala kuiinamia.’ (Kutoka 20:3-5) Kwa hiyo, Shadraki, Meshaki, na Abednego walitii sheria ya Yehova badala ya kutii amri ya mfalme.

Mfalme akakasirika sana, na mara moja akaamuru vijana hao watatu Waebrania waletwe mbele yake. Naye akawauliza: ‘Je, ni kweli kwamba hamwitumikii miungu yangu? Nitawapa nafasi nyingine. Sasa mtakapoisikia sauti ya muziki angukeni chini na kuiabudu sanamu ambayo nimeitengeneza. Lakini msipoabudu mtatupwa ndani ya tanuru inayowaka moto. Na ni mungu gani anayaweza kuwaokoa kutoka mikononi mwangu?’

Vijana hao wangefanya nini sasa? Wewe ungefanya nini?— Wao wakamwambia mfalme: ‘Mungu ambaye tunamtumikia anaweza kutuokoa. Lakini kama sivyo, sisi hatuitumikii miungu yako, na sanamu yako ya dhahabu hatutaiabudu.’

Mfalme akakasirika sana. Naye akaamuru: ‘Itieni moto ile tanuru mara saba kuliko ilivyo kawaida!’ Kisha akawaamuru wanaume wenye nguvu wawafunge Shadraki, Meshaki, na Abednego na kuwatupa ndani ya tanuru! Hiyo tanuru ikawa na moto mkali sana hivi kwamba wanaume hao wa mfalme wakafa kwa miale ya moto! Namna gani hao Waebrania watatu?

Shadraki, Meshaki, na Abednego walianguka katikati ya moto. Hata hivyo wakasimama bila hata kuumia. Na sasa hawakuwa wamefungwa. Hiyo iliwezekanaje?— Mfalme akatazama ndani ya tanuru na mambo aliyoona yakamwogopesha sana. “Je, hatukutupa wanaume watatu ndani ya moto?” akauliza. Watumishi wake wakamjibu: “Ndiyo, Ee mfalme.”

Mfalme akasema: ‘Tazama! Naona wanaume wanne wakitembea humo, na moto hauwadhuru.’ Huyo mtu wa nne alikuwa nani?— Ni malaika wa Yehova. Aliwalinda hao Waebrania watatu wasiumie.

Alipoona mambo hayo, mfalme akaenda mlangoni mwa tanuru na kuita kwa sauti: “Shadraki, Meshaki na Abednego, enyi watumishi wa Mungu Aliye Juu Zaidi, tokeni nje, mje hapa!” Walipotoka nje, kila mtu aliona kwamba hawajaungua. Hata hawakuwa na harufu ya moto. Kisha mfalme akasema: ‘Abarikiwe Mungu wa Shadraki, Meshaki na Abednego aliyemtuma malaika wake na kuwaokoa watumishi wake kwa sababu walikataa kuabudu mungu yeyote mwingine ila Mungu wao wenyewe.’—Danieli, sura ya 3.

Tunaweza kujifunza kutokana na mambo hayo yaliyotokea hapo zamani. Hata siku hizi watu hutengeneza sanamu ili ziabudiwe. Kitabu kinachoitwa The Encyclopedia Americana kinasema: “Bendera ni takatifu kama vile msalaba ulivyo mtakatifu.” Sanamu zinaweza kutengenezwa kutokana na miti, mawe, chuma au kitambaa. Wanafunzi wa Yesu wa mapema hawangemfanyia mfalme wa Roma tendo la ibada, jambo ambalo Daniel P. Mannix alisema ni sawa na “kukataa kusalimu bendera au kuimba wimbo wa taifa.”

Unafikiri Mungu anaonaje sanamu ya kidini ambayo imetengenezwa kutokana na kitambaa, mbao, mawe, au chuma?— Je, ingekuwa sawa mtumishi wa Yehova kuifanyia sanamu kama hiyo tendo la ibada?— Shadraki, Meshaki, na Abednego hawakufanya hivyo, Yehova akafurahi sana. Unawezaje kuiga mfano wao?

Wale wanaomtumikia Yehova hawawezi kuabudu mtu yeyote au kitu chochote. Soma yanayosemwa kuhusu mambo hayo katika Yoshua 24:14, 15, 19-22; Isaya 42:8; 1 Yohana 5:21; na Ufunuo 19:10.
 
Ww sijui upumbavu utaacha lini aisee,Yaani ungskuwa karibu ww kubakwa na kutatuliwa hayo marinda ilikuwa haikwepeki maana naona ulishonwa vibaya,Punguani kabisa
 
Bangi ipigwe marufuku vijana wetu wanapotea vichaa!!!!!!
 
Huyu ndiye mtu mashuhuri Zaid aliyewahi kutokea duniani na kuacha athari kubwa kwa maisha yetu,yeye ndiye mzee wa nyakati,unaweza kumwita yoshua bar Joseph Ana majina mengi Sana
The Almighty
Almighty God
Alpha and Omega
Amen
The Ancient of Days
Anointed
Anointed One
Author & Finisher of our
Faith
Author of Eternal Salvation
Beginning
Beginning and the Ending
Begotten
Beloved
Beloved Son
Beloved Son of God
Blessed of God
BREAD of Life
Bridegroom
Bright and Morning Star
Captain of Man's Salvation
Captain of Our
Salvation
Carpenter
Carpenter's Son
Chief CORNERSTONE
Chosen
Chosen of God
Christ Child
Christ of God
Christ the Lamb
Comforter
Consolation of Israel
Cornerstone
Counsellor
Creator
Creator of All Things
Deliverer
Divine
DOOR of the Sheep
Emmanuel
End of the Law
Endless
Eternal
Eternal Father
Eternal God
Eternal Head
Eternal Judge
Eternal Judge of Quick and Dead
Everlasting Father
Example
Exemplar
Faithful and True
Father
Father of Heaven and Earth
Finisher
Finisherof faith
First and the Last
Firstborn
Firstfruits
Forerunner
God of Abraham (Jews)
God of Isaac (Christians)
God of Israel (All His People)
God of Jacob (The Elect)
God of Thy Father
God of Whole Earth
God's Anointed
God's Holy Child
Good Shepherd
Governor
Great I AM
Great Shepherd
Head of Every Man
Head of the Body
Head of the Church
Healer
Heir of All Things
Holy Child
Holy Messiah Holy One
Holy One of Israel
Holy One of Jacob
Image of God
Immanuel
Jehovah,
Man of Galilee
boy from Nazareth
Joseph's Son
Judge
Judge
of Quick & Dead
Just One
Just
The King
King of Israel
King of Kings
King of Zion/Sion
King of the Jews
Lamb
Life,
Light of the World
Lion of the Tribe of Juda
Living BREAD
Living STONE
Living WATER
Lord God of Hosts, Lord Jehovah, Lord
Jesus, Lord of All
Lord of Dead
Lord of Glory
Lord of Hosts
Lord of Living
Lord
of Lords
Lord of the Sabbath
Lord Omnipotent
Lord our Righteousness
Lord's Christ
Maker
Man of Counsel
Man of Holiness
Master
Mediator
Meek and Lowly
Messenger of the Covenant Messiah Mighty One of Israel
Mighty One of Jacob
Minister
Nazarene
Offspring of David
One Body
Only Begotten
Only Begotten of the Father
Only Begotten Son
Our Passover
Physician
Power of God
Prince
Prince of Peace
Prophet
Prophet of Nazareth
Propitiation for Sins of Whole World Rabbi
Redeemer
Resurrection and the Life
Revealer
Righteous Judge
ROCK of Heaven
Root of Jesse
Sacrifice
Savior of Israel
Savior of the World
Second Comforter
Seed of Abraham
Seed of David
Seed of the Woman
Servant of Jehovah
Shepherd
Son of Abraham
Son of David
Son of Man
Son of
Mary
Son of the Blessed
Son of the Eternal Father
Son of the Everlasting God
Son of the Highest
Son of the Living God
Son of the Most High
Spiritual ROCK
Stem of Jesse
Teacher Come from God
True VINE
Truth
The Unchangeable One
The WAY
The Well Beloved
Wisdom of God
Wonderful
WORD of Life
The WORD
The Worthy
Fundi.yesu Ni noma
King of Righteousness
King of Salem,(peace).
Melchizedek.
 
We jamaa tangu umejivua uanachama chaputa umekua kama umedata siku hizi

Rudi kundini kumenoga
 
Huyu ndiye mtu mashuhuri Zaid aliyewahi kutokea duniani na kuacha athari kubwa kwa maisha yetu,yeye ndiye mzee wa nyakati,unaweza kumwita yoshua bar Joseph Ana majina mengi Sana
The Almighty
Almighty God
Alpha and Omega
Amen
The Ancient of Days
Anointed
Anointed One
Author & Finisher of our
Faith
Author of Eternal Salvation
Beginning
Beginning and the Ending
Begotten
Beloved
Beloved Son
Beloved Son of God
Blessed of God
BREAD of Life
Bridegroom
Bright and Morning Star
Captain of Man's Salvation
Captain of Our
Salvation
Carpenter
Carpenter's Son
Chief CORNERSTONE
Chosen
Chosen of God
Christ Child
Christ of God
Christ the Lamb
Comforter
Consolation of Israel
Cornerstone
Counsellor
Creator
Creator of All Things
Deliverer
Divine
DOOR of the Sheep
Emmanuel
End of the Law
Endless
Eternal
Eternal Father
Eternal God
Eternal Head
Eternal Judge
Eternal Judge of Quick and Dead
Everlasting Father
Example
Exemplar
Faithful and True
Father
Father of Heaven and Earth
Finisher
Finisherof faith
First and the Last
Firstborn
Firstfruits
Forerunner
God of Abraham (Jews)
God of Isaac (Christians)
God of Israel (All His People)
God of Jacob (The Elect)
God of Thy Father
God of Whole Earth
God's Anointed
God's Holy Child
Good Shepherd
Governor
Great I AM
Great Shepherd
Head of Every Man
Head of the Body
Head of the Church
Healer
Heir of All Things
Holy Child
Holy Messiah Holy One
Holy One of Israel
Holy One of Jacob
Image of God
Immanuel
Jehovah,
Man of Galilee
boy from Nazareth
Joseph's Son
Judge
Judge
of Quick & Dead
Just One
Just
The King
King of Israel
King of Kings
King of Zion/Sion
King of the Jews
Lamb
Life,
Light of the World
Lion of the Tribe of Juda
Living BREAD
Living STONE
Living WATER
Lord God of Hosts, Lord Jehovah, Lord
Jesus, Lord of All
Lord of Dead
Lord of Glory
Lord of Hosts
Lord of Living
Lord
of Lords
Lord of the Sabbath
Lord Omnipotent
Lord our Righteousness
Lord's Christ
Maker
Man of Counsel
Man of Holiness
Master
Mediator
Meek and Lowly
Messenger of the Covenant Messiah Mighty One of Israel
Mighty One of Jacob
Minister
Nazarene
Offspring of David
One Body
Only Begotten
Only Begotten of the Father
Only Begotten Son
Our Passover
Physician
Power of God
Prince
Prince of Peace
Prophet
Prophet of Nazareth
Propitiation for Sins of Whole World Rabbi
Redeemer
Resurrection and the Life
Revealer
Righteous Judge
ROCK of Heaven
Root of Jesse
Sacrifice
Savior of Israel
Savior of the World
Second Comforter
Seed of Abraham
Seed of David
Seed of the Woman
Servant of Jehovah
Shepherd
Son of Abraham
Son of David
Son of Man
Son of
Mary
Son of the Blessed
Son of the Eternal Father
Son of the Everlasting God
Son of the Highest
Son of the Living God
Son of the Most High
Spiritual ROCK
Stem of Jesse
Teacher Come from God
True VINE
Truth
The Unchangeable One
The WAY
The Well Beloved
Wisdom of God
Wonderful
WORD of Life
The WORD
The Worthy
Fundi.yesu Ni noma
Kichwa cha uzi kiliatakiwa kisomeke ,YESU kiumbe.........,maneno uliyotimia yanaleta uchochezi kwa dini nyingine
 
Kichwa cha uzi kiliatakiwa kisomeke ,YESU kiumbe.........,maneno uliyotimia yanaleta uchochezi kwa dini nyingine
Ni kweli mkuu ila mods ndo wamebadilisha Wao na simu sababu gani walifanya hivyo
 
Nzi akipunguza ufala atatengeneza asali.......Mungu ni kiumbe? Eti ni mtu? Your gods must be crazy.
 
Huyu ndiye mtu mashuhuri Zaid aliyewahi kutokea duniani na kuacha athari kubwa kwa maisha yetu,yeye ndiye mzee wa nyakati,unaweza kumwita yoshua bar Joseph Ana majina mengi Sana
The Almighty
Almighty God
Alpha and Omega
Amen
The Ancient of Days
Anointed
Anointed One
Author & Finisher of our
Faith
Author of Eternal Salvation
Beginning
Beginning and the Ending
Begotten
Beloved
Beloved Son
Beloved Son of God
Blessed of God
BREAD of Life
Bridegroom
Bright and Morning Star
Captain of Man's Salvation
Captain of Our
Salvation
Carpenter
Carpenter's Son
Chief CORNERSTONE
Chosen
Chosen of God
Christ Child
Christ of God
Christ the Lamb
Comforter
Consolation of Israel
Cornerstone
Counsellor
Creator
Creator of All Things
Deliverer
Divine
DOOR of the Sheep
Emmanuel
End of the Law
Endless
Eternal
Eternal Father
Eternal God
Eternal Head
Eternal Judge
Eternal Judge of Quick and Dead
Everlasting Father
Example
Exemplar
Faithful and True
Father
Father of Heaven and Earth
Finisher
Finisherof faith
First and the Last
Firstborn
Firstfruits
Forerunner
God of Abraham (Jews)
God of Isaac (Christians)
God of Israel (All His People)
God of Jacob (The Elect)
God of Thy Father
God of Whole Earth
God's Anointed
God's Holy Child
Good Shepherd
Governor
Great I AM
Great Shepherd
Head of Every Man
Head of the Body
Head of the Church
Healer
Heir of All Things
Holy Child
Holy Messiah Holy One
Holy One of Israel
Holy One of Jacob
Image of God
Immanuel
Jehovah,
Man of Galilee
boy from Nazareth
Joseph's Son
Judge
Judge
of Quick & Dead
Just One
Just
The King
King of Israel
King of Kings
King of Zion/Sion
King of the Jews
Lamb
Life,
Light of the World
Lion of the Tribe of Juda
Living BREAD
Living STONE
Living WATER
Lord God of Hosts, Lord Jehovah, Lord
Jesus, Lord of All
Lord of Dead
Lord of Glory
Lord of Hosts
Lord of Living
Lord
of Lords
Lord of the Sabbath
Lord Omnipotent
Lord our Righteousness
Lord's Christ
Maker
Man of Counsel
Man of Holiness
Master
Mediator
Meek and Lowly
Messenger of the Covenant Messiah Mighty One of Israel
Mighty One of Jacob
Minister
Nazarene
Offspring of David
One Body
Only Begotten
Only Begotten of the Father
Only Begotten Son
Our Passover
Physician
Power of God
Prince
Prince of Peace
Prophet
Prophet of Nazareth
Propitiation for Sins of Whole World Rabbi
Redeemer
Resurrection and the Life
Revealer
Righteous Judge
ROCK of Heaven
Root of Jesse
Sacrifice
Savior of Israel
Savior of the World
Second Comforter
Seed of Abraham
Seed of David
Seed of the Woman
Servant of Jehovah
Shepherd
Son of Abraham
Son of David
Son of Man
Son of
Mary
Son of the Blessed
Son of the Eternal Father
Son of the Everlasting God
Son of the Highest
Son of the Living God
Son of the Most High
Spiritual ROCK
Stem of Jesse
Teacher Come from God
True VINE
Truth
The Unchangeable One
The WAY
The Well Beloved
Wisdom of God
Wonderful
WORD of Life
The WORD
The Worthy
Fundi.yesu Ni noma

Unaweza kudhani au kuamini kuwa umetoa sifa kwa Mungu, lakini ukweli ni kuwa umekufuru KWANI MUNGU SIO KIUMBE BALI NI MUUMBAJI. Unless ulimaanisha mungu.
 
Back
Top Bottom