Hivi unawezaje kusema ```mungu amlaze marehemu peponi ameen wakati unajua kabisa marehemu alikuwa muuaji, marehemu alikuwa anakula TIGO, marehemu kadhurumu haki za mayatima na mengi mabaya..... Tuacheni kumfanya mungu mtoto
mtu akifariki wanadamu huwa wanasahau na kuenzi mazuri aliyoyafanya wakati wa uhai wake mabaya tunamwachia mungu huwezi jua mtu unamjua kuwa anadhambi cku anakufa akasali na kutubu dhambi zake na kusamehewa dhambi zote
kwa taarifa toba ya siku ya mauti imekufika haipokelewi...hata hivyo m/mungu humnemeesha amtakaye na kutokumneemesha amtakaye, vilevile kwenye upande wa pepo na moto..yeye ndiye ajuaye siri zilizojificha kabisa.