Mungu mpe Tundu Mughwai maisha marefu...

Alafu hizi ndio mada za kufutwa sasa zinaachwa tuu wakati mada za maana hazikatizi...huyu jamaa nim senge sana
 
Mungu mpe maisha marefu huyu mtu ili ajue kuna muda ni heri kufa kuliko kuishi ndani ya hasira za watu

Ni Mimi "MATAGA" mkuu
Polisi! Kunamtu anasherehekea msiba wa mheshimiwa Raisi huku.
 
Mods,
Mnamwacha huyu mtukanaji anajinafasi kwa kutukana watu? Msidhani tumemshindwa kama mnaona anayofanya yanasitahili toweni ruhusa tuendelee naye.
 
we heri James acha upuuzi😋😋😋😋
 
Nchi inaanza kurudi kwenye mstari baada ya miaka 5 ya hovyo hovyo. Thanks to God.
 
Mods,
Mnamwacha huyu mtukanaji anajinafasi kwa kutukana watu? Msidhani tumemshindwa kama mnaona anayofanya yanasitahili toweni ruhusa tuendelee naye.
Wamekusikia, umeridhika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…