Mungu mpe Tundu Mughwai maisha marefu...

Naam ni maombi yangu kwa huyu mwanasiasa (diaspora)(teh teh teh) ya kwamba Mungu ampe misha marefu ili ashuhudie matokeo ya upando wake..

Ashuhudie maamuzi ya watu wenye hekima kwa imma kupendwa yeye au maiti..

Ashuhudie yeye na wajukuu same kuwa watanzania ni watu makini na hawakuwahi kufanya makosa..

Na mwisho kabisa ashuhudie kuwa kazi aliyoichagua aliikurupukia ni afadhali angefungua fremu akawa wakili kweli mtaani tu

Mungu mpe maisha marefu huyu mtu ili ajue kuna muda ni heri kufa kuliko kuishi ndani ya hasira za watu

Ni Mimi "MATAGA" mkuu
Kuna hasara ya 60B huku bwashee!
 
Kweli wewe mtagaji mkuu. Ila hilo ni dua la kuku.
 
Mara useme ahsante mara shindwa hata sikuelewi....we karibu bwana weeee ukiwa na hamu ya kusagwa karibu, tango, ndizi sukari, ndizi za tanga a.k.a mkono wa tembo vyote available yani nakusaga ukitoka hapo unatembea "kifua mbereeee" karibu sana
Astaghafirullah!!!
 
Lisu aishi miaka miambili uko na ushehe aone watanzania jinsi walivyo,wanajaa kwenye mikutano na kura awakupi.
 
Hivi mleta Uzi unajua ulichokiandika kweli Tanzania bado Kuna Safari ndefu mno maana mtu anaandika hata hajui kaandika Nini mungu tuhurumie Sana.
 
Naam ni maombi yangu kwa huyu mwanasiasa (diaspora)(teh teh teh) ya kwamba Mungu ampe misha marefu ili ashuhudie matokeo ya upando wake..

Ashuhudie maamuzi ya watu wenye hekima kwa imma kupendwa yeye au maiti..

Ashuhudie yeye na wajukuu same kuwa watanzania ni watu makini na hawakuwahi kufanya makosa..

Na mwisho kabisa ashuhudie kuwa kazi aliyoichagua aliikurupukia ni afadhali angefungua fremu akawa wakili kweli mtaani tu

Mungu mpe maisha marefu huyu mtu ili ajue kuna muda ni heri kufa kuliko kuishi ndani ya hasira za watu

Ni Mimi "MATAGA" mkuu
Acha utoto dogo.
 
Back
Top Bottom