We naye acha utoto! Kuna chuo kikuu cha mlimani City?Hongera sana
Ila haters watasema uache utoto😀
Utoto sio kilema,ni stage tu ya ukuajiWe naye acha utoto! Kuna chuo kikuu cha mlimani City?
Mkuu mliman city ndo chuo Gan kiko wapOyeee!!
Nimechaguliwa chuo kikuu mlimani city naenda kusomea kozi ya kuesabu ela, asante sana Mungu maana ntakuwa na ela nyingi sana.
Sio ela, ni helaOyeee!!
Nimechaguliwa chuo kikuu mlimani city naenda kusomea kozi ya kuesabu ela, asante sana Mungu maana ntakuwa na ela nyingi sana.
asante kwa kushirikiHongera Sana
Ila Kama Kumbukumbu Zangu Zipo Sawa Uliwahi Kuleta Thread Yako Hapa Nadhani Mwaka Juzi Ukisema Upo Havard University Na Watu Wakuulize Swali Lolote Kuhusu Chuo Hicho Utawajibu
Najua Jamiiforums Ni Chuma Chikoli Moto Wataalam Wataileta Thread Yako Ile Kuweka Hasard Sawasawa
Mlimani City ndio Chuo gani hicho??Oyeee!!
Nimechaguliwa chuo kikuu mlimani city naenda kusomea kozi ya kuesabu ela, asante sana Mungu maana ntakuwa na ela nyingi sana.
Oyeee!!

Kabisa mkuu na alikuwa analazimisha kutuaminisha.Hongera Sana
Ila Kama Kumbukumbu Zangu Zipo Sawa Uliwahi Kuleta Thread Yako Hapa Nadhani Mwaka Juzi Ukisema Upo Havard University Na Watu Wakuulize Swali Lolote Kuhusu Chuo Hicho Utawajibu
Najua Jamiiforums Ni Chuma Chikoli Moto Wataalam Wataileta Thread Yako Ile Kuweka Hasard Sawasawa
Alipobanwa Kwa Maswali AkakimbiaKabisa mkuu na alikuwa analazimisha kutuaminisha.