Usimwingize Mwenyezi Mungu katika siasa zenu uchwara!Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi.
Amen! Flag up [emoji110]️Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi.
Tunamshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa alichotufanyia Watanzania tarehe 17/03/2021.Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi.
little amount nakuja wauzia masikini kwa bei kubwa. Mungu bila Wewe Taifa hili tutalia nakusaga meno.
Sawa nawaluomshukuru nao wanalala kama alivyo lala.Tunamshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa alichotufanyia Watanzania tarehe 17/03/2021.
Naona wazuri wameanza kufa.Tunamshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa alichotufanyia Watanzania tarehe 17/03/2021.
Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi.
Mungu uliopo Mbinguni wapo watu wamelifia hili Taifa wapo watu ndio sababu ya hili Taifa kuwa hapa na kamwe familia zao na wajukuu zao hawakuwekwa mbele au kupata hata wizara yakuongoza. Mungu usiache waovu wachache wakalitia Taifa hili katika kiza kinene kwa sababu ya tamaa za matumbo yao na uchu wa madaraka.
Mungu hata kama Kuna uchawi na nguvu za aina yeyote Mawaziri wa tatu kama sio wanne ktk wizara muhimu kwa kesho ya watanzania hawana budi kurudi na kuwa wabunge wakawaida maisha kwasababu kiza na mkwamo wanaenda kulipa hili Taifa haikuwahi tokea.
Mungu njaa njaa njaa inanukia Mungu njaa inanukia inanukia inanukia na kama huto shuka nakufanya maamuzi magumu Taifa hili kwa mara ya kwanza lina enda kutana na njaa Kali Kali haijawahi tokea. Mungu njaa ina Nuka ila Wewe ni Mungu hujawahi shindwa hujawahi shindwa ukatutetee. Tuna hitaji Mawaziri wenye kujuwa Kuna watu hawapati hata mlo wa siku na mapapa wanasomba all food for little amount nakuja wauzia masikini kwa bei kubwa. Mungu bila Wewe Taifa hili tutalia nakusaga meno.
Mungu mwangalie mtu ulie muandaa kwa kazi ngumu kuliongoza Taifa hili Mungu usiangalie sura angalia mzalendo na mtu kweli anania na yakuwaongoza wa Tz. Mungu walio jipanga kunyakua madaraka nakutuongoza kwa tamaa zao Mungu usiache jambo Hilo likatokea.
Mungu wangu waangalie ma million ya vijana wasio na ajira ukawape akili na uwezo wakukabiliana na hali hii. Najuwa mabadiliko makubwa yanakuja ila wape subira vijana hawa hata ule muda utafika.
Mungu nawaombea sana wakuu waidara zetu nyeti za usalama na ulinzi Mungu adui yupo ktk mfumo bila idara imara za usalama na jeshi imara sisi kama Taifa ni fisi mbele ya maadui. Mungu inua wazalendo wengi ktk idara hizi kwa Uhai wa Taifa hili. Amen
Huyo jamaa nazani ni moja Kati ya watu waovu Sana hapa nchini... Fatilia tu comments zake utagundua jamboSawa nawaluomshukuru nao wanalala kama alivyo lala.
Amina..Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi.
Huwa sikukubali kwa uchawa wako wa kupitiliza lakini kwa hii post, naona akili yako imeanza kukaa sawa Mkuu.Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na fadhila aendelee kuweka mkono wake katika Taifa letu la Tanzania, Aendelee kunyoosha mkono wake na kutushushia baraka na Neema juu ya ardhi yetu hii ya kipekee kabisa, aendelee kusimama
Huyo mwovu yeye ananing'inizwa motoni hukoSawa nawaluomshukuru nao wanalala kama alivyo lala.