Mungu, kwanini umeyaruhusu haya?

Kuna mwanamke mmoja akilewa anaanza kumbuka marehem,,,, mtashangaa tu machozi yanamtoka.

Pombe sio chai walai
 
Amen
Pana wakati MUNGU uruhusu mateso hili jina lake likapate kuimidiwa kumbuka hata wakati wa farao kule misiri MUNGU aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu mara dufu ili ukuu wake ukapate kudhiirika.

Kweli Mkuu. Maana siku hizi watu wamemrudia mungu. Makanisa yanajaa japo sadaka mungu kwake Sikitu. Ndoa zinaimarika, heshima ipo. Thanks god every thing is under one roof
 
Mkipiga dili hamlipi zaka hamtaki kumfanya rafiki kwa mali ya udhalimu sasa mnalialia Siku nyingine mkipiga hela acheni kuumiza watoto wa wenzenu
 
Kwangu mimi ni Boonge la Kiongozi unafiki kwake mwiko na hatua aliyoifikia ni njema sana sema kuna wengine hamtaki kuelewa yeye Binaadamu kama wewe kwa hiyo tujifunze kuwa na subra na kuombeana kheri sio kila siku lawama tu,

Namshukuru sana kwa sasa huku uswazi watu tunaheshimiana wakubwa kwa wadogo ile enzi ya kumkanyaga mtu kwa bahati mbaya na kuambiwa unanijua mimi ni nani haipo tena

Bila kufanya kazi kihalali ujue imekula kwako na maadili ya kazi kwa 70% yamerudi swali la kujiuliza ukiwa kama Mtanzania umeisadia nini Tanzania kuweza kulisukuma gurudumu la maendeleo?
 
Kama taifa tumepata laana ya kihalaiki kwa kumkubali Magufuli atuongoze
 
Mungu atusamehe tu maana imetosha sasa.
Tumekoma na hatutajaribu tena
Ndugu zangu, hii ngoma ni mpaka 2025 kwasabu kwa dalili hizi 2020 itakuwa kama Gambia
 
Mkipiga dili hamlipi zaka hamtaki kumfanya rafiki kwa mali ya udhalimu sasa mnalialia Siku nyingine mkipiga hela acheni kuumiza watoto wa wenzenu
Kwahiyo mkuu wewe unafrahia na yanayo endelea? Imagine jamii forum ikafungwa mm na wewe tutatoa maoni yetu wapi?
 
Mliobeba mimba za hapo ufipa mtakula sana ndimu lakini hizo mimba hazitoki ng'oooo.

Nyumbu wakubwa nyinyi.


Sasa elimu bure
Midege kibao

Go magufuli Go
 
Sawa mkuu uko sahihi kwasabu hatuwezi kuwa na mtazamo sawa watu wote sisi kwa idadi yetu.
Kwangu mm kuna baadhi nayapenda kuna baadhi na ya chukia kupita kiasi hususani ya kuto taka kukosolewa na kubana Uhuru wa kuongea kama hivi wana komaa jamii forum kisa watu wana waponda tu humu!!!
 
Biblia Inasema Ivi:

Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake,kama tabia yake ni njema na aminifu. 12 Sikio lisikialo na jicho lionalo,yote mawili kayafanya Mwenyezi-Mungu. 13 Usipende kulala tu usije ukawa maskini;uwe macho nawe utakuwa na chakula kingi. 14“Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika,lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei. 15 Kuna dhahabu na wingi wa mawe ya thamani kubwa;lakini cha thamani kubwa zaidi ni maneno ya busara!
 
Ukute ndio ulikuwa wa kwanza kukata viuno kuimba mbele kwa mbele huku umefungulia star tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…