Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya marehemu, hii ni sala au kanuni

Mwili unakufa lakini roho haifi kamwe... ..
We are allowed to make intercession prayers for the departed souls na the ones in the physical World as well

wee Muhaya? ulianza vizuri kwa lugha ya taifa, kufika kati kati, ghafla hujui Kiswahili! Ahsante sana.
 
Nimeweka context na framework ya kusema mungu hayupo, kwamba kwa mujibu wa ushahidi wote uliopo sasa.

Nikaweka uwezekano wa mungu kuwepo na mimi kutojua hilo, kwa kuwaachia wanaosema mungu yupo wanithibitishie kwamba mungu yupo.

Kitu ambacho hawajaweza kufanya mpaka sasa.

Thibitisha kwamba mungu yupo.
Why are you having nightmares when we mention God?
 
No life after death..kama hukutengeneza maisha yako ukiwa hai hata ukiombewa na dunia nzima dhambi zako hazitafuta kamwe


If your not right...go left,,
 
Ni katika kutiana moyo,
Japo tunapaswa kuweka mahusiano mazuri kati yetu na Mungu tukiwa hai.
 
Ukifa umekufa, utafufuliwa siku Yesu akija endapo wewe ni Mwenye yaki. Wale wote ambao si wenye haki watafufuliwa kwa ajili ya kuchomwa moto
 
Wakuu poleni na majukumu, kwa mwenye mchango wa hili naomba anieleweshe kidogo.

Mara nyingi mtu anapozikwa, hua wanasema Mungu ilaze mahali pema peponi roho yake.
Hivi kweli hii ua ni sala au ni kanuni tu watu wamezoea kusema?
Na kama ni sala hivi kweli Mungu anaipokeaga? Nimeuliza hivyo kwa sababu nimewai kupewa mahubiri na viongozi wa dini hasa waislam na wakristo wakiniambia kwamba mtu akiwa hai yaani mzima hapa duniani ndo ana muda wa kufanya toba na Mungu wake,
Akisha kufa hakuna nafasi tena. sasa kama ni kweli na kama ni hii sala watu wakisema hivyo Kweli mola wetu uipokea?


hili swali inabidi ukawaulize hao hao viongozi wa dini
 
Hata hii kauli ya "Mungu amempenda zaidi" huwa inanichanganya sana.

Yani mtu anauwawa kwa kunyofolewa viungo, au kupigwa mabomu kama lile la Mwangosi, bado utasikia watu wanasema "Mungu amempenda zaidi"
 
Ukiisha sema" personal god"hainipi shaka kwamba mmemuumba nyie.Mungu ni idea tu hakuna mwenye uhakika na kama yupo alete hapa ushahidi.
 
1.Why did god created the cultural isolation of the Hindu ?.

2.How did you know that your god need to be worshiped ?.

3.If god created us then who created him? or how do you know that god was not created ?

4.If god created us the same y should you teach me about him?y dont i know him automatically ?

5.Tell me how comes the nex generation after Adam &Eve forgot about god and started to worship the sun,the moon n stars ?.Where were god or why did the spirit of knowing god automatically (inborn ) from Adam &Eve disappeared ?.

6.If god loves us y did he gave us the book which supports slavery ?.And tell me if ""we,the people ""were wrong by abolishing slavery because it was wrong /inhuman ?.Doesn't this means that we are clever than your god?aren't we the best thinkers than your god?.I think we are!

7.Mention at least 2 problems which has been solved by religions?

8.Show me the vivid evidences that the Universal was designed ?

9.Are the Muslim/Christians praying to the wrong god?.How do you know that your god is the right god?.

10.Tell me why don't god stop the Satan from operating ?.
 
The universe is the way it is ,
whether we like
it or not. The existence or nonexistence of
a creator is independent
of our desires . A world without God or
purpose may seem harsh
or pointless, but that alone doesn ' t
require God to actually exist.
 
Hao ndio watu wa mungu aliye hai!.Kumbe kuna mungu aliyekufa pia!.Ukitaka kujua mungu anaumbwa na wanadamu fuatilia maneno yao.

1.Mungu mmoja asiyeoneka-Kwa hiyo kuna miungu inayoonekana.

2.Mungu mwenye nguvu-kumbe kuna mungu lakini hana nguvu.

3.Alfa na omega-Kumbe kuna miungu mingine ni Alfa tu ama Omega tu.

4.Mungu muweza wa yote-Kumbe kuna mungu asiyeweza yote.

5.Mungu mmoja tu-Kumbe inawezekana wapo wengi.
5.Mungu wa amani.-kumbe kuna mungu wa vita.
6.Mungu asiyeshindwa kitu-kumbe kuna mungu anayeshindwa!.

.Swali langu ni kwamba ikiwa mnajiamini mnamungu mwenye nguvu kwa nini mnatumia kauli ZA ULINGANIFU wakati mnamuelezea?
 
Nafsi ni nini...?

Mwili ni nini...?

Nipe uhusiano wa Roho, Nafsi na Mwili.....

Eiyer hebu nipe link ya ule uzi ambao msabato Sangarara aliukimbia kihusu uwepo wa Roho..

Tukianza bishana na watu kama hawa kwa jambo ambalo limeongelewa ni aibu ni bora tuwape link wakasome..

Uko jukwaa la dini

Una access?
 
Mimi kipindi kile nilikuwa nawafuatilia kwa ukaribu sana....

Nilikuwa nataka kumpeleka moja kwa moja Bansluma kwenye ule uzi....

Anaujua sana kwani akama sikoei alishachangia

Kuna uzi mwingine ambao unathibitisha kuwa Papa sio Mpinga Kristo kama wanavyodai,sijamuona kuchangia huko sijui vipi

Eti Basluma Original mbona sikuoni kweye ule uzi bana?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom