Mchana mwema kwako uliyefunga kwasababu huna hela ya mlo wa mchana
Even at America they used to sayHabari za mchana,
Hivi viongozi wa nchi wakiwa wanatoa hatuna zao, pale mwisho huwa wanahitimisha kwa kusema....
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki .........
Mungu Ibariki. ........
Mungu Ibariki. ........
Hii nimekuwa nikiisikia tangu utawala wa awamu ya Mh. Ben. hata huyu wa sasa nae anatumia hiyo hitimisho kwenye risala zake.
Nnachojiuliza, huyu Mungu wanayemmaanisha.... ni Mungu yupi?
Kumbuka kuna mzungu wengi inaabudiwa huku duniani....
Hizo baraka huwa zinashuka kweli?
Kuna waliowahi kuzipata hizo baraka?
Kuna msemo huwa nausikiaga kuwa serikali haina dini, na inafahamika wasio na dini ni wapagani.
Je, huyu Mungu wa kwenye risala ni yupi?
Nisaidie tuu kudadavua tafadhali.
Mchana mwema kwako uliyefunga kwa maana ya kwaresma.
Mchana mwema kwako uliyefunga kwasababu huna hela ya mlo wa mchana.
Mchana mwema kwako uliyepigika, iko siku vyuma vilivyokubana vitaachia tuu. Furukuta usikae tuu na kukata tamaa.
Kasinde Mdadisi.
Even at America they used to say
GOD BLESS UNITED STATES OF AMERICA
MUNGU ANASINGIZIWA SANA ...NIKWASABABU MUNGU MWENYEWE AMECHAGUWA KUWA MKIMYA ...kama angekuwa ni muongeaji bila Shaka angeshajibu hoja nyingi anazo sukumiwa yeye na wale wote ambao wanasura ya kondoo kumbe kumbe roho yao ni ya simba mtenda maovu
Serikali haina dini ila watumishi wake wanayo dini, kuhusu hiyo kauli ya mwesho kwenye hotuba imekua ni kama fasheni tu kuisema sidhani kama inatoka moyoni kabisa
Au ulitka dada yangu huku Afrika tuseme Mizimu ibariki Afrika?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo swali langu liko hapo, hao wazungu au wa huko state nao wanatumia hivohivo God bless America.... God bless .... God bless....
Huyo God / Mungu ni yupi? Au wenzetu huko states serikali yao inadini? Na kama wanayo ni ipi? Na kama serikali yao pia haina dini ni Mungu yupi wanayetaka awabariki?
Au ndo kusema Monkey See Monkey Do na sie tumeiga tuu huo utashi kutoka states bila kujua Mungu anayeombwa baraka ni yupi?
Am just thinking.....
Au ulitka dada yangu huku Afrika tuseme Mizimu ibariki Afrika?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Isingefaa kwasababu Alleluya imeegemea pande moja ya dini ila Mungu ibariki Tz haifungamani na pande yeyote ileOoh ok, kama hizo semi zinawekwa kama fasheni tuu hapo nimeelewa.
Labda nidadisi zaidi.... je fasheni ingekuwa kumaliza hotuba kwa kusema halleluya ingekuwaje?? Ingefaa??!
Mimi mwenyewe simuelewagi ila sema neno ma andamano yana mvulugaNi kweli nakubali yeye ni mkuu sana bin mtukufu ila angetuweka wazi. .... anaendeleza mtiririko alioukuta wa kuomba baraka au anaombaga baraka kwa Mungu yupo?
Isingefaa kwasababu Alleluya imeegemea pande moja ya dini ila Mungu ibariki Tz haifungamani na pande yeyote ile
Rudi kwenye jukwaa lako la mapenzi, huku utabakwa, utango'lewa kucha na kisha utatupwa baharini ukiwa kwenye kiroba, huu mziki tuachie siye.Habari za mchana,