Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Labda teule la shetani........hakuna mungu anayekuambia ushike mtutu uue ili kunyang'anya ardhi....
RUSSIA TAIFA LA MUNGULabda teule la shetani........hakuna mungu anayekuambia ushike mtutu uue ili kunyang'anya ardhi....
Hv huyo mungu wako anaunga mkono mauaji ya halaiki (butcher)...??....pole sana kama huyo mungu wako ana-support kuvamia nchi za watu kuwaua na kuchukua ardhi yao.....
Ila hili la USA kuipiga biti AFRICA isinunue mafuta ya RUSSIA limenishangaza Sana!
Watu weusi tupo GUNIANI kusindikiza.
RUSSIA TAIFA LA MUNGUUlichokiandika aibu naona mimi... Aisee yaani uko zako kijijini unawatambia wenzio kuwa una brother wako yuko Town na brother mwenyewe ndo wewe asalaleeeee....kibungo wahed
Nadhani ni tatizo la mfumo wa Elimu yetu,haijajikita kwenye kuunda watu wenye uwezo wa kung'amua Mambo kwa jicho pevu,Ni kawaida kumkuta msomi akijisifu kuwa yeye ni bingwa wa AMERICAN-ENGLISH huku akiidharau lugha yake ya kiswahili,Elimu yetu inazalisha wanaume wenye sifa za wanawake tena wasio na uwezo wa kutambua jema na baya,pia graduates wengi Wana uwezo mdogo Sana wa kupambana na mazingira halisi.Watu wanaounga mkono US huwa nashindwa waelewa sidhani kma wapo vzr kiakili
Mkuu unadhani Mungu anapendelea ujinga kama nyinyi?Hv huyo mungu wako anaunga mkono mauaji ya halaiki (butcher)...??....pole sana kama huyo mungu wako ana-support kuvamia nchi za watu kuwaua na kuchukua ardhi yao.....
Ulichokiandika aibu naona mimi... Aisee yaani uko zako kijijini unawatambia wenzio kuwa una brother wako yuko Town na brother mwenyewe ndo wewe asalaleeeee....kibungo wahed
Not only in Iraq but also in former Yugoslavia, Syria, Afghanistan - ni watu wachache wanaojua kwamba tangu Taifa la Merikani lipewe uhuru na Uingereza karibu miaka 400 iliyopita kati ya hiyo ni miaka 16 tu ambayo Amerika haikujihusisha na masuala ya vita/vurugu somewhere around the World - just imagine!!NATO has done much worst in Iraq buddy. Stop crocodile tears.
Aiyaaa sio iran tena?
Iraq kafanya vizuri kwa sababu ilifikia mahala Sadam alikuwa anwalipa wapalestina $ 25.000.00 kila akifanya suicide bo, bing na kkuwa waisrael. Afghanistan mmarekani kafanya vema sana maana kapeleka wanawake milion 45 shule na kufungua shule nyingi za girls ambazo sasa zimefungwa. Syria mmarekani kafanya vizuri kwa sababu Syria ilimficha mpalestina membe wa PFLP ambaye ndiye aliyepanga mauaji ya wanriadha 12 wa israel kule munich. sasasNot only in Iraq but also in former Yugoslavia, Syria, Afghanistan - ni watu wachache wanaojua kwamba tangu Taifa la Merikani lipewe uhuru na Uingereza karibu miaka 400 iliyopita kati ya hiyo ni miaka 16 tu ambayo Amerika haikujihusisha na masuala ya vita/vurugu somewhere around the World - just imagine!!