SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,718
Majibu ya maswali yote aliyo kuuliza Rafiki yako yapo.no one knows and no one will give you the right answer, Mungu mwenyewe ndiye mwenye majibu.
kuna maswali ambayo hatuwezi kupata majibu kamwe kwa kuwa Mungu hakutaka tuyafahamu hayo, kuna rafiki yangu aliniuliza "watakaofanikiwa kuingia mbinguni, wataongea lugha gani? maana kutakua na wachina, watanzania, wamarekani, wafaransa na wengineo. Je, watakutana na ndugu zao? kama ni mke, atakutana na mumewe aliyetangulia? na kama huyu mke aliolewa tena, huyo mume wa kwanza atafanya nini?"
correct me if Im wrong. Ishmael, Eiyer, Petro E. Mselewa
Majibu ya maswali yote aliyo kuuliza Rafiki yako yapo.
Ngoja nijibu swali kao la Lugha ya Mbiguni: Je, unafahamu Lugha ambayo Adam alitumia kuzungumza na Mungu?
Kabla ya kukupa jibu. Je, Adam alijifunzaje hiyo Lugha? Au alipo umbwa tu aliweza kuizungumza?hapana sifahamu, na hata katika Biblia sijaona palipoandikwa ni lugha gani waliyoongea, pengine ipo, nipe elimu mkuu
Kabla ya kukupa jibu. Je, Adam alijifunzaje hiyo Lugha? Au alipo umbwa tu aliweza kuizungumza?
Kwahiyo, argument yako ya Wachina, Wamarekani, Watanzania etc etc wataifahamu vipi hiyo lugha umesha jijibu mwenyewe. Sasa twende kwenye SWALI la Lugha. Je, Jina la Eva au Adam ni la lugha gani?naona alizungumza bila kufundishwa
Kwahiyo, argument yako ya Wachina, Wamarekani, Watanzania etc etc wataifahamu vipi hiyo lugha umesha jijibu mwenyewe. Sasa twende kwenye SWALI la Lugha. Je, Jina la Eva au Adam ni la lugha gani?
The very name Adam is from the Hebrew word adamah (earth), referring to the fact that G-d created Adam from the earth. From the time of Adam and Eve until the generation of the Tower of Babel, everyone spoke Hebrew.ni ya kiswahili kama sikosei.
The very name Adam is from the Hebrew word adamah (earth), referring to the fact that G-d created Adam from the earth. From the time of Adam and Eve until the generation of the Tower of Babel, everyone spoke Hebrew.
Age has nothing to do with comprehension of life after death. By the way, you don't need experience to understand something.
Mkuu it seems you have something to say. Plz say it.
Unaposema jibu kama lipo ni la kufarijiana unamanisha nini? Jee unamanisha baada ya kufa hakuna kinacho/kitakacho endelea?
To be a young man it doesn't mean you are dumb. What is going on dude?Nakumbuka umeniquote kuwa una majibu, ukaniita 'young man' niliamua kukubali kuwa youngman ili nijifunze kwako. Sasa unageuka na kusema age has nothing to do with comprehension !!
^^
Mkuu swali la mleta mada linataka jibu la aina uliyosema lakini je ni uhakika upi?Mkuu Mashaxizo
Nakubali kabisa kuwa binadamu wana uzoefu tofauti wa maisha, wana elimu, imani, sayansi, teknolojia, historia, tamaduni n.k Vyote hivyo vinaweza kuwapa majibu ya maswali yao.
Back to topic:
Ukitazama muundo wa swali la Mleta mada, linamtaka atakaejibu awe na uhakika usiozua maswali. Yaani ajue sehemu halisi Mungu anapoweka roho za waliokufa!!
Sasa, ipo haja ya kutambua pia ni nani anayejibu na alitoka lini huko. Watumishi wengi wa Mungu wanapaswa kukumbuka kuwa '.. YALE YALIYOFUNULIWA NI YA WANADAMU NA YALIYOFICHWA NI YA MUNGU...' Kifo ni mojawapo ya yaliyo ya Mungu
^^
Mkuu swali la mleta mada linataka jibu la aina uliyosema lakini je ni uhakika upi?
Nauliza hivi kwasababu kuna uhakika wa aina mbili
1; Uhakika wa Kiimani
2;Uhakika wa kisayansi
Lakini ukiangalia msingi wa swali ni imani hivyo hata majibu yake nadhani yanapaswa kuwa kiimani zaidi ....!!
Ni kweli ....!!Kama ni majibu ya kiimani, hayo yapo mengi.. Karibu kila dini imejiandalia majibu yanayowatatiza wafuasi wake.
^^
Mkuu swali la mleta mada linataka jibu la aina uliyosema lakini je ni uhakika upi?
Nauliza hivi kwasababu kuna uhakika wa aina mbili
1; Uhakika wa Kiimani
2;Uhakika wa kisayansi
Lakini ukiangalia msingi wa swali ni imani hivyo hata majibu yake nadhani yanapaswa kuwa kiimani zaidi ....!!